democratic
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 1,642
- 295
cc;All masalias and Ben Sa8 (inclusive).
mbona sioni picha mkuu
mkuu umeshanisemea sitii tena neno.Hii picha ilipigwa Dodoma wakati Dr Slaa alipoalikwa bungeni mara baada ya uchaguzi mkuu 2010. Dr Slaa hana kinyongo na mtu ila baadhi ya watu ndio wana kinyongo nae kutokana na misimamo yake ya kutetea ukweli, haki na kupinga ufisadi.
Naona chale kwa mbalii usoni kwa kigagula Zito...
Mh!ameshaaga kwao,kaa mbali naye!Naona chale kwa mbalii usoni kwa kigagula Zito...