Hii hapa namba yangu.

FATAKI jenyewe ni member la JF limeuona huu uzi kupitia cm yake likajua linawindwa hivyo limesepa!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Yawezekana muuza ubuyu! Mbona updates zimepotea ghafla
 
Last edited by a moderator:
FATAKI jenyewe ni member la JF limeuona huu uzi kupitia cm yake likajua linawindwa hivyo limesepa!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Poripori kama hilo haliwezi kuwa GREAT THINKER!
Hivi utaanzaje kutongoza kitoto cha shule na sare Kweli mafataki hayana huruma!
 
MKUU siondoki hapa nasubiria update ya muvi.
 
kuna uwezekano ikawa kama ile movie ya yule MJESHI alietukesesha siku tatu tunafuatilia movie
 
Jamani huyu mtu anaeitwa Joseph Isaack kaishia wapi na story yake? au ndio kibao kimemgeukia akawekwa rumande?
 
Itakuwa jamaaa cm imeisha charge so lazima apotee! !!😀😀😀🙁😀
 
Rimewekwa rokapu mura, rinachezea geshi ra polishi
 
mkuu wewe mkondo huo haupo kweli nakuona upo bize sana kule jukwaa la chini!

Dah, hapa nimecheka sana, We Henge wewe umemjuaje, halafu kule kuna tool box linaelekeza maeneo ya huduma na sio sehemu zinazopatikana watoto wa Shule.
 
Hao kwa style hiyo watakuwa wamepitilizwa kituo wameshukia Lamadi ama Bunda kabisa na kama sio mjini Msoma
 
Haa! Nijuzeni wenzangu muvi inaendeleaje maana nimesubiri mpaka nimesinzia yaani ndio nashtuka sasa hv.
 
Dah, hapa nimecheka sana, We Henge wewe umemjuaje, halafu kule kuna tool box linaelekeza maeneo ya huduma na sio sehemu zinazopatikana watoto wa Shule.
Jamaa ni maarufu sana jukwaa lile!
 
Jamaa kaingia mitini, watu kama nyie hamtufai hapa jamiiforums, mambo gani ya kuleta kitu nusu nusu? Kama vipi Invisible fanya kazi yako, watu kama hawa wakina Joseph Isaack unapiga BAN tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…