Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,631
Tulia wewe mbona unataka kunitilia kitumbua mchanga.Punguza kudalalia wenzio mjusi mkuu
Atoe location!Nenda badala yake ๐
Kumbe una kitumbua mzeeTulia wewe mbona unataka kunitilia kitumbua mchanga.
Nishazoea mwisho juzi nimeota nimeachika na jana ghafla bin vuu nimeachwa ๐ ๐ ๐We utaachika sana huu mwaka๐๐๐
HahahaAtoe location!
Unapenda sana ugomvi ๐Kumbe una kitumbua mzee
Ebo! Ninavyo vya kukaanga kwa mafuta cha kubakua bado sijaoa.Kumbe una kitumbua mzee
Pole harmful utapata tu wa kufanana naww usijali๐ซขNishazoea mwisho juzi nimeota nimeachika na jana ghafla bin vuu nimeachwa ๐ ๐ ๐
Nisiulize lakini๐Unapenda sana ugomvi ๐
Kwamba inabid awe ndugu yangu au pacha ๐ ๐ ๐Pole harmful utapata tu wa kufanana naww usijali๐ซข
Uliza ila haya maswal tata utafanya watu wapandishe sukari ๐Nisiulize lakini๐
Wa kufanana matendo na ww kama ni mchawi na mzinzi๐Kwamba inabid awe ndugu yangu au pacha ๐ ๐ ๐
Mwenyewe napima kwanza.. huyu namjua hanaga sukari kwanza๐ kuna njemba kdg tu unalambwa mtama๐คฃ๐Uliza ila haya maswal tata utafanya watu wapandishe sukari ๐
Kuna wengine wanakuja mpaka pm kwaajili ya vita uliyoanzisha bila kujua ๐Mwenyewe napima kwanza.. huyu namjua hanaga sukari kwanza๐ kuna njemba kdg tu unalambwa mtama๐คฃ๐
Hata mimi nimezama kiroho nimeliona tatizo hiloUnashida kubwa sana na inaweza kukuletea majanga hapo baadae, lakini inaweza kutatuliwa tuwasiliane andaa laki na hamsini ya sadaka.
Sio kwelii๐๐๐ mi nnaa vita gaNi jmnKuna wengine wanakuja mpaka pm kwaajili ya vita uliyoanzisha bila kujua ๐