Unatumia godoro Gani!? π€Habari
Nafupisha hii mada
Kuna huyu mtu nilipanga kumtembelea kwanzia December nitoke mkoa A mpka mkoa B
Things went as we planned...ila cha kushangaza tukiplan kuhusu hio safari nikilala tu naota ajali tu ikabidi nimwambie sikukuu ziishe Hali irudi kawaida nitamtembelea...
Tukazidi kujipanga huku tukisubiri kuvuka mwaka wa 2026 uishe .....
Tatizo linaanza tu tukiongelea tu hio safari naota ndoto za kutisha kama nimepata ajali na nimefariki ..
Hii ni ndoto tu au Kuna ujumbe ndani yake maana nimeota zaidi ya mara tatu......
Punguza kudalalia wenzio mjusi mkuuπ«’Unashida kubwa sana na inaweza kukuletea majanga hapo baadae, lakini inaweza kutatuliwa tuwasiliane andaa laki na hamsini ya sadaka.
Si ndio mzeeSisi ni kusema tu na kupita tu bwashee , maamuzi ni yake.
Kwa nini si ndio mkuu?Si ndio mzee
I mean kazi yetu ni kumfungua akili basi huko kwengine ni juu yake.Kwa nini si ndio mkuu?
Tahadhali ingekuwa kwa wote kiasi hiki ingekuwa safi sana. ππ½ππ½hepatitis B , Gonorrhea, Chronic UTI, fungus, brucellosis...nk
hahahahahaha! Kwamba unaogopa tusije tukasema R.I.P Mallerina! Hahahahahaha!Habari
Nafupisha hii mada
Kuna huyu mtu nilipanga kumtembelea kwanzia December nitoke mkoa A mpka mkoa B
Things went as we planned...ila cha kushangaza tukiplan kuhusu hio safari nikilala tu naota ajali tu ikabidi nimwambie sikukuu ziishe Hali irudi kawaida nitamtembelea...
Tukazidi kujipanga huku tukisubiri kuvuka mwaka wa 2026 uishe .....
Tatizo linaanza tu tukiongelea tu hio safari naota ndoto za kutisha kama nimepata ajali na nimefariki ..
Hii ni ndoto tu au Kuna ujumbe ndani yake maana nimeota zaidi ya mara tatu......
hizo zote ni ballistic missileTahadhali ingekuwa kwa wote kiasi hiki ingekuwa safi sana. ππ½ππ½
Hivi hii Brucellosis inakuwa vipi mkuu?hizo zote ni ballistic missile
hatari kwa afya
Hii statement imefanya kwa muda mrefu niamini hakuna uchawi Wala majini ni mitizamo ya watu Tu!Yaani mitazamo yako inaweza kuanza kukuumbia ukweli fulani kuhusu maisha yako.
Asante ukitaka ushauri wa kiroho zaidi nichek pm kuna kitu ndani yako!!Asante kwa ushauri
hio ni zoonotic d'se inatoka kwa mnyama kwenda binadamu kupitia maziwa,nyama..nkHivi hii Brucellosis inakuwa vipi mkuu?
Nenda badala yake πAcha woga kamtembelee mwenzio!
Nilikuwa nafahamu ni ugonjwa unaotokana na bacteria kwenye maziwa ya ngβombe, lakini sikuwa najua inarelate vipi na Conjugal.hio ni zoonotic d'se inatoka kwa mnyama kwenda binadamu kupitia maziwa,nyama..nk
vile vile inatoka kwa mtu Moja kwenda kwa mwengine through mating ikimkamata mwanamke anakua anatupa mimba kwenye last trimester kwa men unavimba kende inaambatana na dalili nyinginezo.
sjui utakuwa umepatwa mwanga kidogo?
We na nani?Mtu wetu huyo π