Hii Hali inatokana na Nini ?!

Hii Hali inatokana na Nini ?!

Mallerina

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2023
Posts
2,695
Reaction score
6,224
Habari
Nafupisha hii mada
Kuna huyu mtu nilipanga kumtembelea kwanzia December nitoke mkoa A mpka mkoa B
Things went as we planned...ila cha kushangaza tukiplan kuhusu hio safari nikilala tu naota ajali tu ikabidi nimwambie sikukuu ziishe Hali irudi kawaida nitamtembelea...

Tukazidi kujipanga huku tukisubiri kuvuka mwaka wa 2026 uishe .....

Tatizo linaanza tu tukiongelea tu hio safari naota ndoto za kutisha kama nimepata ajali na nimefariki ..

Hii ni ndoto tu au Kuna ujumbe ndani yake maana nimeota zaidi ya mara tatu......
 
Hata ukishinda sana gereji utaanza kuota ndoto za gereji au unakwenda gereji kutengeneza gari.

Nachotaka kusema ni kuwa sometimes, your perception can form and create your realty. Yaani mitazamo yako inaweza kuanza kukuumbia ukweli fulani kuhusu maisha yako.

Una hofu ya ajari na unajaribu kuwazia ikikutokea itakuwaje,ile hofu yako imeuwa so deep hadi inakutengenezea ndoto ili uone kile unachokihofia.
 
Hayo ni maono na tahadhari. Sio ndoto za kawaida

Soma hapa

Thread 'Hizi sio ndoto za kawaida' Hizi sio ndoto za kawaida
 
Umejitia uoga sana wa hiyo safari,unawaza sana huyo mtu ukutane nae au usikutane nae,kifupi upo katikati ya maamuzi yako,hujiamini au humuamini huyo unayetaka kwenda kuonana nae,ndio maana unaota hivyo,

Death is inevitable,siku ikifika imefika tu.
 
Hata ukishinda sana gereji utaanza kuota ndoto za gereji au unakwenda gereji kutengeneza gari.

Nachotaka kusema ni kuwa sometimes, your perception can form and create your realty. Yaani mitazamo yako inaweza kuanza kukuumbia ukweli fulani kuhusu maisha yako.

Una hofu ya ajari na unajaribu kuwazia ikikutokea itakuwaje,ile hofu yako imeuwa so deep hadi inakutengenezea ndoto ili uone kile unachokihofia.
Hofu ninayo kweli
 
Back
Top Bottom