Hawa jamaa hawana utaratibu mzuri wa kutambua items zinatokaiwa kulipiwa kodi.mimi mwezi july nikitokea marekani kupitia dubai then nairobi nilitua hapo uwanjani usiku wa saa 7,walinikomalia kutaka kunitoza kodi kwa nguo zangu ambazo hazikuwa zinetolewa price tags ambazo nilinunua kama uniform za ofisi kisa tu zinafanana hivyo ni za biashara.zilikuwa suruali 4 na mashati matano ya kufanana.baada ya ubishani na kukomaa mama akaona hapati kitu akaniachia niende.sasa niko njiani narudi toka nje tena na tarajia kupita hapo kesho usiku na niko na mizigo lazima niwape mrejesho ya kitakachojiri.hawa watu wanataka kutumia mwanya wa nia nzuri ya Raisi ya kukusanya kodi kujinufaisha wao kupitia rushwa,its pathetic