Hii haki kweli kwa wasafiri wa uwanja wa Ndege JKN

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,537
1,752
Hii video inaonyesha huyu abiria akitakiwa kulipia faini kwa hii mizigo, mpaka nguo zake za kuvaa, inaonyesha begi lake limefunguliwa kabisa na nguo zake ziko njee, sasa sijui kama ni sawa au sio sawa, hebu mnao safiri na mizigo mnijuze labda mimi sijui., YouTube link:
Zaidi ni pale anapo omba risiti akipata pesa aje kuchukua wanavyo jikanyaga..
 
nimeona hiyo video unyanysasaji nadhani kipindi ndio muda kila mwenye anamtukana asiye mayo..
 
Makusanyo ya kodi na hizi report zao tutarudi kwenye kodi ya kichwa....Hivi mapato ya November yameshatangazwa?
 
Mara zote issue huwa ni approach ya kutatua tatizo, na hao watu wa airport na tra hawajuia kama case ya jana sio ya leo wala ya kesho. Pia kama huyo dada kama katoka nje ya nchi (anavyozungumza hakuwapo kama miaka miwili hivi) na alikuwa huko miaka miwili hakuna cha kulipa hapo labda lingekuwa gari ambalo linataka miezi kumi na mbili kabla ya kurudi Tanzania (source website ya tra).

Halafu kesho kutwa anakuja kuwa boss wake ndio atashika adabu.
 
Hii mambo Mzee Ruksa aliikataa sasa inarudi.

I hope Mr. President will see this akatumbuwe eyapoti.
 
Tupisheni hapa...lipa kodi ..hukui tuna pangaboi zinakuja
 
mwana dada huyu ni mfanyakazi wa kazi zandani Uarabuni Dubai amejikushanyia matambara haya ili kuja kuwapa ndugu na jamaa zake ,lakini kiama kilichomfika kwa
askari wa kastamu ni hichi?
k7p-gSLNfic


 
Hawa jamaa hawana utaratibu mzuri wa kutambua items zinatokaiwa kulipiwa kodi.mimi mwezi july nikitokea marekani kupitia dubai then nairobi nilitua hapo uwanjani usiku wa saa 7,walinikomalia kutaka kunitoza kodi kwa nguo zangu ambazo hazikuwa zinetolewa price tags ambazo nilinunua kama uniform za ofisi kisa tu zinafanana hivyo ni za biashara.zilikuwa suruali 4 na mashati matano ya kufanana.baada ya ubishani na kukomaa mama akaona hapati kitu akaniachia niende.sasa niko njiani narudi toka nje tena na tarajia kupita hapo kesho usiku na niko na mizigo lazima niwape mrejesho ya kitakachojiri.hawa watu wanataka kutumia mwanya wa nia nzuri ya Raisi ya kukusanya kodi kujinufaisha wao kupitia rushwa,its pathetic
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom