Hii haki kweli kwa wasafiri wa uwanja wa Ndege JKN


Bakulutu

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Messages
2,107
Likes
463
Points
180
Bakulutu

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2011
2,107 463 180
Hii video inaonyesha huyu abiria akitakiwa kulipia faini kwa hii mizigo, mpaka nguo zake za kuvaa, inaonyesha begi lake limefunguliwa kabisa na nguo zake ziko njee, sasa sijui kama ni sawa au sio sawa, hebu mnao safiri na mizigo mnijuze labda mimi sijui., YouTube link: Zaidi ni pale anapo omba risiti akipata pesa aje kuchukua wanavyo jikanyaga..
 
Bakulutu

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Messages
2,107
Likes
463
Points
180
Bakulutu

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2011
2,107 463 180
Huu ni unyanyasaji uliopitiliza!
Sidhani kama viwanja vingine wanafanyiwa hivyo, hii kitu natamani ifikie kwa JPM aone kabiisa.
 
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Messages
17,174
Likes
4,283
Points
280
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined May 20, 2011
17,174 4,283 280
nimeona hiyo video unyanysasaji nadhani kipindi ndio muda kila mwenye anamtukana asiye mayo..
 
The Monk

The Monk

Platinum Member
Joined
Oct 12, 2012
Messages
12,650
Likes
18,902
Points
280
The Monk

The Monk

Platinum Member
Joined Oct 12, 2012
12,650 18,902 280
Makusanyo ya kodi na hizi report zao tutarudi kwenye kodi ya kichwa....Hivi mapato ya November yameshatangazwa?
 
ukhuty

ukhuty

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2016
Messages
15,899
Likes
39,641
Points
280
ukhuty

ukhuty

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2016
15,899 39,641 280
Sio sahihi kabisa
 
Mwanamayu

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Messages
8,483
Likes
2,540
Points
280
Mwanamayu

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined May 7, 2010
8,483 2,540 280
Mara zote issue huwa ni approach ya kutatua tatizo, na hao watu wa airport na tra hawajuia kama case ya jana sio ya leo wala ya kesho. Pia kama huyo dada kama katoka nje ya nchi (anavyozungumza hakuwapo kama miaka miwili hivi) na alikuwa huko miaka miwili hakuna cha kulipa hapo labda lingekuwa gari ambalo linataka miezi kumi na mbili kabla ya kurudi Tanzania (source website ya tra).

Halafu kesho kutwa anakuja kuwa boss wake ndio atashika adabu.
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
63,145
Likes
32,985
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
63,145 32,985 280
Hii mambo Mzee Ruksa aliikataa sasa inarudi.

I hope Mr. President will see this akatumbuwe eyapoti.
 
Macos

Macos

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2008
Messages
1,833
Likes
1,016
Points
280
Macos

Macos

JF-Expert Member
Joined May 12, 2008
1,833 1,016 280
Tupisheni hapa...lipa kodi ..hukui tuna pangaboi zinakuja
 
Kakke

Kakke

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Messages
1,871
Likes
781
Points
280
Kakke

Kakke

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2010
1,871 781 280
mwana dada huyu ni mfanyakazi wa kazi zandani Uarabuni Dubai amejikushanyia matambara haya ili kuja kuwapa ndugu na jamaa zake ,lakini kiama kilichomfika kwa
askari wa kastamu ni hichi?


 
kupe

kupe

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
1,026
Likes
96
Points
145
kupe

kupe

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
1,026 96 145
Kusaidiana maana yake nini?
 
tru rasta

tru rasta

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
293
Likes
201
Points
60
tru rasta

tru rasta

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
293 201 60
Hawa jamaa hawana utaratibu mzuri wa kutambua items zinatokaiwa kulipiwa kodi.mimi mwezi july nikitokea marekani kupitia dubai then nairobi nilitua hapo uwanjani usiku wa saa 7,walinikomalia kutaka kunitoza kodi kwa nguo zangu ambazo hazikuwa zinetolewa price tags ambazo nilinunua kama uniform za ofisi kisa tu zinafanana hivyo ni za biashara.zilikuwa suruali 4 na mashati matano ya kufanana.baada ya ubishani na kukomaa mama akaona hapati kitu akaniachia niende.sasa niko njiani narudi toka nje tena na tarajia kupita hapo kesho usiku na niko na mizigo lazima niwape mrejesho ya kitakachojiri.hawa watu wanataka kutumia mwanya wa nia nzuri ya Raisi ya kukusanya kodi kujinufaisha wao kupitia rushwa,its pathetic
 
mbalizi1

mbalizi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2015
Messages
13,208
Likes
22,093
Points
280
mbalizi1

mbalizi1

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2015
13,208 22,093 280
Hata kama kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake sio hivi
 

Forum statistics

Threads 1,273,084
Members 490,268
Posts 30,470,678