HOJA YA UDINI INAPANDIKIZWA KWA NGUVU KUBWA KUCHOCHEA UHASAMA NA CHUKI ZA KIDINI KWA NGUVU...wakati ki uhalisia sisi huku TANGANYIKA ..HATUNA HUO UDINI...naona watakuwa wanachukia kutuona waislamu na wakristo tunashirikiana pamoja kwa umoja na upendo bila kuchinjana kama wanavyotaka...na tunashirikiana kwa shida na raha..na hata kuoana dini kati ya dini na dini..misibani na sherehe..hatuna ukabila wala udini..
wanasiasa waliofulisika hoja na sera wanatamani sana ,waingize idini ili ionekane DINI YAO ndiyo inawafanya wapingwe na wala sio maujinga yao wanayoyafanya.ila wasingizie dini yao ndiyo inafanya wasikibalike na sio kuwa ni kukosa uwezo na sifa.