figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,201
- 64,654
mia
Ahaaa! Hiyo gari ya Mr Bean?
Hata ingekuwa na engine na imekamilika, crane ndogo ya tani tatu na boom ya mita kumi tosha kuliweka gari hapo.Ni box tu,bila injini yake kwahiyo ni jepesi,watu wameliinua na kuliweka hapo..
walitumia helkopta kuliweka hapoIlifikishwa na Photo shop