hii fasheni ya nguo (suruali) inaitwaje?

kwa mwingine hata manyonyo kwake si uchi ye anachojua ni zile reproductive organs tu ndo uchi....

ewaaaaaaaa.........sasa huo ndio uchi..........kwingine kote ni sehemu za mwili tu........
 
UCHI.. Ni subjective term....kwa maelezo ya kawaida kabisa (layman definition) ni sehemu ya mwili ambayo huwezi kuionesha hadharani. Kila mtu ana sehemu zake ambazo hazionyeshi hadharani kulingana na interest binafsi, mafundisho ya kidini au maadili ya kijamii. Tunatofautiana...kwa mtu mwingine magoti ni uchi lakini kwa mwingine hata mapaja sio uchi...kwa mwingine kwapa ni uchi lakini kwa mwingine hata manyonyo kwake si uchi ye anachojua ni zile reproductive organs tu ndo uchi....yan ni shida katika mambo kama haya ni ngumu sana kufikia consesus..cha muhimu kila mtu ashike alichonacho.

JF inataka comment za hivi.watu wajifuzne kitu siyo kupost mbunye mbunye tuuuuu.akina bysange na MUSSOLIN wajiunze kutoa hoja kuntu. siyo short short za kukimbiza.haya mambo ya kukimbiza MB zishiishe JF si mahali pake
 
Last edited by a moderator:

Hahaha Preta kwa hiyo sehemu zote za mwili ruksa kuonekana?
 
hivi binamu mapaja sio uchi au ndio mtu akiamua kuonyesha kwa interest zake sio uchi tena, naamini itakuwa kwake sio uchi ila kwa wengine ni uchi.....
 
JF inataka comment za hivi.watu wajifuzne kitu siyo kupost mbunye mbunye tuuuuu.akina bysange na MUSSOLIN wajiunze kutoa hoja kuntu. siyo short short za kukimbiza.haya mambo ya kukimbiza MB zishiishe JF si mahali pake

hahahahaaaaaaa Rutunga M sio kila unachokifikiria ndivyo kilivyo
 
Last edited by a moderator:
hivi binamu mapaja sio uchi au ndio mtu akiamua kuonyesha kwa interest zake sio uchi tena, naamini itakuwa kwake sio uchi ila kwa wengine ni uchi.....

Hahahaa binamu ndio maana nmesema tunatofautiana....kwangu mimi naona hata magoti ni uchi ila mtu aliyezoea kuonyesha mapaja hawezi kulielewa hili unamuacha ashike alichonacho
 
binamu mtazamo wetu unashabihiana kabisa.....!
 
Ww unashangaa hiyo wengine hiyo mikato iko kwenye makalio sasa na ajavaa chupi wanawake wanavituko alafu mm nahisi wanawake aibu zao ziko CHINI
 
ewaaaaaaaa.........sasa huo ndio uchi..........kwingine kote ni sehemu za mwili tu........

IMG-20131017-WA0001.jpg

pretta, nahuyu yuko uchi au... hamna reproductive organ inayoonekana ...
 
Back
Top Bottom