hii fasheni ya nguo (suruali) inaitwaje?

hii fasheni ya nguo (suruali) inaitwaje?

Wenyewe wanaita chapati lazima ikangwe pande zote
 
Inaitwa Malapulapu.

Fasheni hizi.

Afadhali michaniko ingekuwa chini au magotini
 
Matangazo.jpg
 
Naona kuna baadhi ya wadada ingeruhusiwa kutembea uchi baadhi yao wangembea uchi
 
Yaani uchi hujauona hapo...???

Labda ninavyouelewa uchi ni tofauti na wengine...........

UCHI.. Ni subjective term....kwa maelezo ya kawaida kabisa (layman definition) ni sehemu ya mwili ambayo huwezi kuionesha hadharani. Kila mtu ana sehemu zake ambazo hazionyeshi hadharani kulingana na interest binafsi, mafundisho ya kidini au maadili ya kijamii. Tunatofautiana...kwa mtu mwingine magoti ni uchi lakini kwa mwingine hata mapaja sio uchi...kwa mwingine kwapa ni uchi lakini kwa mwingine hata manyonyo kwake si uchi ye anachojua ni zile reproductive organs tu ndo uchi....yan ni shida katika mambo kama haya ni ngumu sana kufikia consesus..cha muhimu kila mtu ashike alichonacho.
 
Back
Top Bottom