The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,347
- 11,849
Kuna ile kauli: "MSICHANGANYE DINI NA SIASA" hapa naona haihusiki. Ndio kusema mzani umelalia upande mmoja?
Hii ni dua iliyotolewa na Shekhe mmoja hapo kwenye sherehe ya May mosi. Hebu isikie kama hukupata wasaa huo;
Hii ni dua iliyotolewa na Shekhe mmoja hapo kwenye sherehe ya May mosi. Hebu isikie kama hukupata wasaa huo;