nina computa 2(laptop), headfone 1, modem 3 (air tel, tigo na voda), flash 1 ya 4gb, simu 2 za mchina, mkoba wa kubebea cd. wadau kwa kutumia assets nilizozitaja hapo naweza kufanya biashara gani? au niongezee assets zipi zisizozidi Tsh.500,000 ili nifanye biashara na itakuwa ni biashara ipi?