Usikubali Kubaki Nyuma!

kholo

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
413
76
Kampuni za simu za Zantel,Tigo,Vodacom,Airtel zimeingia mkataba na Rifaro Africa Ltd (www.rifaroafrica.com) ambaye ni Wakala Mkuu (Super Dealer) wake kusambaza huduma ya muda wa maongezi au airtime kwa kutumia mfumo wa mtandao(NETWORK MARKETING)


Kwa sasa kampuni za mawasiliano zina mnyororo wa wadau wa kati ambao ni Wakala Mkuu, Wakala na Wauza rejareja. Katika mnyororo huu, Wakala Mkuu anapata asilimia 2, Wakala anapata asilimia 2 na Wauza Rejareja wanapata asilimia 5 kama commission ya mauzo yao.

Katika mfumo huu mpya wa Rifaro, Wakala na Wauza Rejareja wameondolewa na badala yake watumiaji wa simu ndio wanakuwa wasambazi (Distributors) ambao watawakilisha Wakala, Wauza Rejareja . Hivyo unapojiunga na biashara hii basi wewe unakuwa ni Msambazaji ambaye atalipwa malipo yaliyokuwa yanalipwa kwa Mawakala na Wauzaji Rejareja. KITU KIZURI HAPANI KWAMBA SIO LAZIMA UWE MSAMBAZAJI AU DISTRIBUTOR, WEWE KAMA MTUMIAJI WA SIMU UNAPATA KULIPWA COMMISSION KWA MATUMIZI YAKO YA SIMU BADALA YA KULIPWA WALE MIDDLE MEN.


Kilichofanyika hapa ni kwamba kampuni ya mawasiliano itaondoa gharama za matangazo kujitangaza ambazo ni kubwa mno hasa kwa makampuni ya mawasiliano kama tunavyoshuhudia mabango yao, kwenye magazeti, mitandaoni, n.k.

Hivyo badala ya kampuni ya mawasiliano kumwaga pesa kwa ajili ya kujitangaza na kushindana kibiashara, hela hizo zinaingizwa katika mapato ya wana mtandao ambao wao wanasambaza biashara hii kwa njia ya mdomo kuwaambia ndugu na jamaa zao kuhusu fursa hii ya mtandao.


KWA NINI HII SIO FURSA YA KUIACHA IKUPITE?

Kwanza mtandao huu umejikita katika kutoa huduma ya mawasiliano ambayo kila mtu hapa Tanzania anahitaji kwa shughuli zake za biashara.


Pili kwenye biashara hii, mtandao wako ni asset yako ambayo itakupatia kipato cha milele tofauti na kazini kwani ukiachishwa kazi au kustaafu basi kipato nacho kinayeyuka. Ni vizuri ukaifanya biashara hii wakati uko kazini ili ukija kustaafu uwe na chanzo cha uhakika cha mapato kwani wafanyakazi wengi huwa wanakufa siku si zao baada ya kustaafu kutokana na kukosa kipato cha kuendesha maisha yao kama walivyozoea wakati wako kazini. Vilevile kazini unakuwa na watu wengi wenye uwezo unaokutana nao hivyo tumia fursa hiyo kujijengea asset ambayo itakufanya uishi kama mfalme maisha yako yote pamoja na kuacha urithi kwa vizazi na vizazi vyako vijavyo kwani mtandao wako ni asset yako ya milele ambayo itaendelea kukua kadri siku zinavyoenda.

Tatu utaokoa matumizi ya mda wa maongezi pamoja na bundle za internet ukitumia unalipwa 1% ya matumizi yako kama commission ukiwa kwenye mradi huu.
Nne kwenye biashara hii, huna haja ya kuwa na ofisi huna haja ya kulipia gharama zinazoendana na ofisi kama vile pango, umeme, maji, n.k. Simu yako ndio ofisi yako!! Unaongea na mtu kumuelezea fursa hii akikuelewa unampa namba yako ya udhamini anajiunga kwenye simu yake kupitia udhamini wako. Biashara imeisha.

Tano kwenye biashara hii mtu akishaingia kwenye mtandao wako basi atakuwa chanzo chako cha kudumu cha kupata kipato kupitia mfumo huu wa mtandao lakini ukiwa muuzaji wa huduma ya airtime nje ya mfumo huu basi mpaka mtu aje sehemu yako ya biashara kununua mda wa maongezi ndio upate kipato.

Sita ni biashara ambayo haiitaji usimamizi kwani huwezi kuibiwa kitu ukilinganisha na biashara zingine. Mtu akijiunga kupitia kwako unamuona kwenye ofisi yako ya hewani kwa vizazi vyote 15 kwenda chini na akishaingia basi kaingia, hawezi kutolewa kwa njia yoyote ile na utaendelea kupata commission ya matumizi yake ya mda wa maongezi milele.

Saba ni biashara ambayo huduma yake (Airtime) kila mtu anaihitaji kwenye jamii haijalishi hali yake kiuchumi kwani hata kuli inabidi awe na simu hata ya mchina ili aweze kutafutwa kwenye vibarua na hivyo kupata rizki yake. Hivyo huwezi kukosa watu watakaopenda kujiunga na biashara hii .

Nane ni biashara ambayo unaweza kuitilia maani kwa mda mfupi tu kwa kuwaalika watu kadhaa kutokana na network ya watu unaowajua halafu ukaachana nayo kabisa lakini mtandao wako bado utaendelea kukua kwani walioalikwa nao wataalika watu wao hivyo kuufanya mtandao wako uendelee kukua.

Tisa ni biashara ambayo haihitaji uwe na elimu ili uweze kuifanya. Mtu yeyote yule anaweza kuifanya biashara hii na kupata mafanikio makubwa. Kwenye fursa hii, si jambo la ajabu mtu ambaye hakusoma kabisa akapata kipato kikubwa kuliko mtu mwenye PhD.

Kumi hii ni biashara endelevu kwani hakutakuja kuwa na wakati ambapo huduma za mawasiliano hazitahitajika na hakutakuwa na wakati ambapo watu wa kujiunga na biashara hii watakoma kwani kila siku kuna watu wanatoka kwenye umri chini ya miaka 18 wanaingia kwenye umri huu wa miaka 18 na hivyo kuruhusiwa kisheria kufanya biashara hii.



Tumia simu yako ya mkononi kukupatia kipato cha wiki na cha mwezi kinachoweza kuzidi milioni kumi kutegemea na mtandao wako hata kama huna mtaji wa kuanzia.


Unganisha simu yako yoyote (Voda, Tigo, Airtel , Zantel) na biashara hii ya mtandao ya Rifaro Africa ili uweze kupata kipato cha wiki na cha mwezi.


Mtaji wa kujiunga na biashara hii ni TZS 128,500 tu. Kwa kiingilio hiki unapata start up kit ambayo ina SELCOM ATM CARDS, MUDA WA MAONGEZI WA TZS7000, DVD, KITABU CHA BIASHARA, ACCOUNT YAKO( back office) etc


Ni lazima ujiunge kupitia kwa Mdhamini ambaye ni mfanyabiashara aliyejiunga na biashara hii tayari. Hivyo ukiwa tayari kujiunga basi atakupatia namba yangu ya udhamini ili uweze kujiunga. Utajiunga kwa kufuata maelekezo yatakayokuwepo kwenye kadi utakayopata ununuapo kifurushi.


Baada ya kujiunga, utapata namba yako ya udhamini ili uweze kuwadhamini watu wapya wanaotaka kujiunga na biashara hii pamoja na namba ya siri ya kuingia kwenye ofisi yako kwenye tovuti ambapo utaweza kuwaona watu uliowadhamini kwenye biashara hii kwa vizazi kumi na mbili kwenda chini. Utaanza kualika watu kwenye mradi huu mara baada ya kupata namba yako ya udhamini ili wajiunge kupitia namba yako ya udhamini.


Ukishajiunga, utapata namba yako ya udhamini ya kualikia watu pamoja na namba ya siri ya kuingia kwenye ofisi yako ndani ya tovuti ya Rifaro (www.rifaroafrica.com) ambapo utaweza kuona ukuaji wa timu yako kwa vizazi 15 kwenda chini, manunuzi ya vocha na kipato chako.


Ukiwa ofisini kwako utaweza kuona watu wote uliowaalika kwa vizazi 15 kwenda chini na utaona mapato utakayokuwa unapata mara baada ya kulipia mtaji wa kujiunga na fursa hii.



Ukishapata namba yako ya udhamini, utaanza kuitumia kwa kualikia watu ili wawe kwenye mtandao wako.



Ukialika watu watano tu watakaolipia mtaji wa biashara hii na hao watu watano kila mmoja akaalika mtu mmoja tu aliyelipia mtaji wa kuingia kwenye biashara hii basi utakuwa umepata TZS 140,000 hivyo utakuwa umesharudisha hela yako ya mtaji wa kufanya biashara hii (TZS 128,000) kutokana na mapato yako ya wiki tu utakayoyapata na mapato mengine yatakuwa ni faida.


Kwa mapato ya wiki, kila atakayeingia kwenye kizazi chako cha kwanza na kulipia utapata TZS 20,000. Kizazi cha pili utapata TZS 8,000.Kizazi cha tatu hadi cha tano utapata TZS 5,000. Kizazi cha sita utapata TZS 3,000 na kizazi cha saba mpaka cha 15 utapata TZS 2,000.


Mfano kama umeingiza watu waliolipia watano na hao watu watano wakaingiza watu waliolipia 5 na hii hali ikaendelea hadi kizazi cha tano basi utakuwa umepata TZS 15,650,000 kwa vizazi vitano tu.


TEAM YA WANACHAMA

MALIPO KWA KILA MTU KWA WIKI

JUMLA YA PESA

Kizazi cha 1=watu 5

20,000

100,000

Kizazi cha 2= watu 5*5=25

8,000

200,000

Kizazi 3= Watu 25*5=125

5000

625,000

Kizazi cha 4= watu 125*5=625

5000

3,125,000

Kizazi cha 5=watu 625*5=3125

5000

15,625,000


Kwa mapato ya mwezi, utalipwa 1% kwa matumizi yako binafsi, 0.5% ya mda wa maongezi ulionunuliwa kupitia Rifaro Airtime wa wanachama walioko kwenye mtandao wako kuanzia kizazi cha kwanza hadi cha tano na 0.25% kuanzia kizazi cha sita hadi cha 15 ili mradi uwe umetumia mda wa maongezi kupitia Rifaro Airtime usiopungua TZS 15,000 kwa mwezi husika( yaani Tzs 500 kwa siku)


Mfano umealika watu 10 na hao watu 10 kila mmoja kaalika watu 10 kwa vizazi vitano kwenda chini na tuchukulie kwa wastani kila mtu ndani ya mtandao huo katumia TZS 10,000 kama Airtime ya mwezi husika kupitia Rifaro Airtime basi utakuwa unapata kipato cha mwezi cha TZS 5,556,000.








TEAM YA WANACHAMA

MALIPO YA 0.5%

JUMLA YA PESA

Kizazi cha 1=watu 10

100,000

500

Kizazi cha 2= watu 10*10=100

1,000,000

5000

Kizazi 3= Watu 100*10=1000

10,000,000

50,000

Kizazi cha 4= watu 1000*10=10000

100,000,000

500,000

Kizazi cha 5=watu 10000*10=100,000

1,000,000,000

5,000,000

Jumla

5,556,000



Malipo ya aina ya tatu ni Zawadi. Utapata zawadi kulingana na idadi ya watu uliowadhamini kwenye mtandao wako kwa vizazi kumi na mbili kwenda chini. Kuna zawadi ya kwenda mji mtakatifu ambapo unalipiwa kila kitu na kampuni (kwa Wakristo Jerusalem na kwa Waislam Makka), zawadi ya kiwanja, zawadi ya gari, zawadi ya gari la kifahari na zawadi ya jumba la kifahari.


Baada ya kuwa mfanyabiashara hii, unaweza kuomba kufungua kituo cha kutoa huduma kwa Wasambazaji pamoja na kutoa huduma katika eneo lako. Kituo kinaitwa Rifaro Center. Unatakiwa uwe na ofisi ambayo inaweza kuweka viti na meza zisizopungua 60 kwa ajili ya kuwafundishia Wasambazaji wapya katika eneo lako la biashara na uweze kununua angalau vifurushi 22 kama kituo kitafunguliwa ndani ya Dar es Salaam au angalau vifurushi 50 kama kituo kitafunguliwa nje ya Dar es Salaam.


Utakuwa unanunua vifurushi hivi kwa bei ya jumla ya TZS 70,000 na kuviuza kwa bei ya rejareja ya TZS 76,500 na hivyo kupata faida ya TZS 6,500 kwa kila kifurushi. Vilevile utalipwa kuanzia asilimia 1.5 mpaka asilimia 3.5 ya mauzo ya vifurushi kama commission ya mauzo kwenye kituo chako kutegemea na umeuza chini ya matarajio, ndani ya matarajio au juu ya matarajio.


Kituo kikishafunguliwa katika eneo fulani (ndani ya kilomita fulani) basi hakuna mtu mwingine ataruhusiwa kufungua kituo katika eneo hilo. Fursa ya kufungua vituo kwa sasa ni nyingi kutokana na ukweli kwamba biashara hii ndio kwanza inaanza hivyo haijaenea sehemu nyingi.


Wasambazaji watakuwa wanakuja kwenye kituo chako kwa ajili ya kununua vifurushi vya kuwadhamini watu wao wajiunge na mradi huu kupitia udhamini wao. Utaweza vilevile kuwadhamini watu wako kwa kutumia namba yako ya udhamini kuwaunga na biashara ya usambazaji na hivyo kupata kipato cha mtandao pia juu ya vipatao nilivyovielezea hapo juu wanavyopata wamiliki wa vituo vya Rifaro Centers.


Kama huna mtaji wa kufungua Rifaro Center basi mtafute mtu mwenye uwezo umueleze kuhusu fursa hii. Akikubali basi kwanza mdhamini ajiunge kama Msambazaji ili aweze kuomba kufungua kituo cha Rifaro Center. Akifungua kituo basi atakuletea watu wengi kwenye kizazi chako cha pili ambao watakuwa wanajiunga kupitia udhamini wake kwani ukiwa na kituo basi watu wengi watajua fursa hii kupitia matangazo yatakayokuwepo kwenye kituo.



Kwa walio nje ya Dar es Salaam, mpaka sasa vituo vimeshafunguliwa maeneo yafuatayo ambapo unaweza kwenda kwenye kituo na kuweza kununua kifurushi cha kuanzia biashara hii:KibahaGeita,Dodoma,Shinyanga,Zanzibar,Arusha,Mbeya,Morogoro,Songea,Tanga, Mwanza,Moshi
Bado kuna fursa za kufungua vituo hivi ama kwenye hiyo mikoa iliyoorodheshwa hapo juu au nje ya mikoa hiyo kwa wale watakaotaka kufanya biashara hii ya kufungua vituo vya Rifaro Centers. Biashara hii inalipa mno ukilinganisha na uwakala wa kawaida wa huduma za Airtime kwani juu ya kupata asilimia 2 ya mauzo ya Airtime ambayo ma agents wanapata unapata pia faida ya TZS 6,500 kwa kila kifurushi utakachouza, unapata asilimia 1.5 mpaka 3.5 ya mauzo ya vifurushi kwenye kituo chako kama commission na kikubwa zaidi utapata kipato cha mtandao kwani fursa hii ni mpya hivyo watu wengi wataifahamu fursa hii kupitia matangazo yatakayokuwepo kwenye kituo chako na hivyo hawatakuwa na mdhamini hivyo wewe mwenye kituo utatumia namba yako ya udhamini kuwadhamini wajiunge na biashara hii na hivyo kupata kipato cha mtandao pia kwa vizazi 12 kwenda chini. Juu ya manufaa haya ya ziada utakayopata kwa kufungua kituo cha Rifaro Center, bado mtaji wake ni mdogo mno ukilinganisha na mtaji utakaohitajika kuwa nao kama utataka kuwa agent wa kampuni zingine za mawasiliano.



Natarajia maelezo hayo juu yamekupa picha kamili kuhusu fursa hii.Kama una swali lolote basi usisite kuniuliza.
KUMBUKA "Simu Yako Ndiyo Jembe Lako".


Kama una swali tuwasiliane kwa 0655-001170, 0716-776696, 0784-035326, 0754-844098
 
Back
Top Bottom