Hii bendi inapiga wapi jamani!

Maundumula

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
7,553
3,070
Dear Chitchaters,

Kuna bendi ilikuwa inapiga pale Millenium Business Park Victoria kila Friday Last year nilikuwa naenda sana. Nikawauliza wadau pale wakaniambia inaitwa Grumeti Mambas, sasa naomba kama kuna mwenye info zao anijulishe jamani nimemisi sana miziki ya zamani. Au kama kuna anayejua Juma Kakele na bendi yake wamehamia wapi anifahamishe.

Its Friday time to let loose but i have nowhere to go

:lol::lol::lol::lol::lol:
 
Nenda Calabash bar (Sam Nujoma Rd)japo sijui siku zao za kazi ila hapo ndipo utapata mambo yao
 
SURUMA,

Hiyo Calabash ipo pande ipi wajameni? Mimi naishi sio mbali na Sam Nujoma kama wapo pande hizo itakuwa bomba.

Hiyo Calabash Bar ni wapi? Mwenge mwenge?
 
Nenda Calabash bar (Sam Nujoma Rd)japo sijui siku zao za kazi ila hapo ndipo utapata mambo yao

Yap. Calabash ni ukwee. Wanapiga ijumaa, jmosi na j2. Kama unatokea taa za mwenge unaenda maeneo ya mlimanicity, wapo mkono wa kulia.
 
Thank you very much

Hehehe aisee naomba mkiwa pale mnitafute kama mtakuwepo hiyo kesho.

:lol::lol::lol::lol::lol:
 
Back
Top Bottom