Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 51,261
- 123,819
Jombi niko hapa daraja mbili mtaa wa jaluo nakupata overHili baridi la chuga ni kwere jombi. Kunae njeve ile mbaya.
Jombi niko hapa daraja mbili mtaa wa jaluo nakupata overHili baridi la chuga ni kwere jombi. Kunae njeve ile mbaya.
Hivi we Coco ni mtanzania kweli?
Naagiza ukamatwe mara moja.
Hapo unyamaSasa naachaje, bila mama nanii hapa ndani hali ndo ingekuwa mbaya zaidi, ngoja kwanza nilog out nikamkumbatie kwanza
Kupanda cheo.😷 😅😅😅
Itakusaidiaje?
Haina kwere chalangu. Nipo kwa wazaramo huku nafosi mashilingi.Jombi niko hapa daraja mbili mtaa wa jaluo nakupata over
Baridi la Arusha ni mchumba kwa Baridi la Mahenge.Hili baridi la chuga ni kwere jombi. Kunae njeve ile mbaya.
MhhhhJombi niko hapa daraja mbili mtaa wa jaluo nakupata over
MhhhhhhHaina kwere chalangu. Nipo kwa wazaramo huku nafosi mashilingi.
Hizi mbanga huku zinabonga kinyama wana pigo za kiree.
Focus na bange zako acha kanifuatilia NyabumbuKwa hiyo tufanyeje sasa?
Ni hii baridi, sio "hili" baridi.
Hii baridi, Hii baridi, Hii baridi...
Wanawake wana moto kwenye miili yao tuote?Oeni wazee acheni mambo zenu, 😂