Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,485
- 64,796
natafuta mrembo machachari mwenye shepu yake,
Mwenye sifa hizo halafu umnyweshe balimi(mahindi) pumbav kabisa wewe, unajipenda hujipendi?kiuno cha nyugwi, mwenye rangi ya chungwa; aje anisaidie kula hii nyama choma na balimi mbili hapa kwa mangi.
Na free wifi huku tukiangalia yanayotokea huko mashariki ya katiusisahau zile ballistic missile za kutisha
Atulinde na sisi pia, baridi inaumiza mifupaMungu Ilinde Israel
Nitatafuta mbinu za wazeeMmh! Unaweza ukamnywesha balimi na nyama choma alafu mjegeje usisome! Mbaya hiyo...!
Kama hizo sifa zote unazo, njoo tu mengine yanazungumzikaMwenye sifa hizo halafu umnyweshe balimi(mahindi) pumbav kabisa wewe, unajipenda hujipendi?
Sasa mkuu unatutaka wote nani atabaki kukuangalizia nyumba huku😃Ata wewe una hizo sifa, njoo uokoe jahazi kabla halijazama.
Kwa hii baridi ilivyo kali, ukiachana ni sawa na kujaribu kunywa sumu ya panyaBaridi wala hauwezi kuzuia watu kuachana.
Kila mtu ataachwa kwa wakati wake.
Mungu atafanya wepesiSasa mkuu unatutaka wote nani atabaki kukuangalizia nyumba huku😃
Hahaha, nyugwi ndo Nini mkuuKutokana na hizi mvua na baridi za hapa na pale, sio muda sahihi wakuachana wakuu.
Hapa nilipo natafuta mrembo machachari mwenye shepu yake, kiuno cha nyugwi, mwenye rangi ya chungwa; aje anisaidie kula hii nyama choma na balimi mbili hapa kwa mangi.
Una sifa zote pendekezwayoooh kiuno gani tena😄😄😄
Kama vile nimechanganikiwa na hii baridiHahaha, nyugwi ndo Nini mkuu