Hii bahati au mkosi?

Hii bahati au mkosi?

Bado hamjanishawishi kwamba hii ni bahati.......maybe mkosi
 
hahaha!hii imetungwa vyema!
Sio wizi jaman ni bahati mbaya!
 
Mi natamani ningekuwa yule aliyerudishiwa chenji kimakosa.
 
Me huwa nashangaa sana yaan kwenye gar hata mbanane vp konda hakosi njia ya kupita kudai nauli. Kaaz kwel kwel!
 
halafu makonda a daladala noma watu wamejibana hata mkono huwezi kunyanyua lakini yeye alipita na kudai nauli
He! huyo konda ni mwembamba kiasi gani?
 
Back
Top Bottom