Given Edward
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 850
- 203
hahahahahahaha nimecheka sana Mkuu TanmoMadam mia tano yake bado ilikuwepo basi hiyo ni bahati, kwa maana alijilipia nauli kwa kutumia pesa ambayo si ya kwake....
Ila simpatii picha mwenye elfu kumi (kama pesa ilirudishwa mfukoni mwake), anaweza kudhani kuna vibaka wamemwibia hela halafu wakamrudishia chenji.....:bump:
Huo ungekuwa ni mkosi zaidi maana ingebidi atembee kwa mguu!hahahaa! Sasa ingependeza na yy akute jamaa alikosea mfuko akachukua jero yake na kurudisha chenji.