Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,860
- 50,646
- Thread starter
- #81
Hili hebu lifafanue ndugu yangu!!lakini sikuwa najua kama kwenda mwendo mdogo bila sababu ni kosa pia.
Hili hebu lifafanue ndugu yangu!!lakini sikuwa najua kama kwenda mwendo mdogo bila sababu ni kosa pia.
Rejea sheria za usalama barabarani, kwenda mwendo mdogo bila sababu ni kosa pia. Wapo madereva wa magari ya abiria ambao huwa wanaenda bila kuzingatia sheria, mfano kwenda zaidi ya km 80, kuipita gari ilioko mbele pasipostahili, kuongea na simu na mengineyo. Inapotokea abiria wakamweleza dereva kuhusu uvunjifu wa sheria, dereva huamua kwenda mwendo mdogo sana ili kuwakomoa abiria.Hili hebu lifafanue ndugu yangu!!