msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,788
- 9,127
Hio ajari imetokea muda sana na sababu ilikua ni kupasuka tairi..lakini mleta mada anasema ajari imetokea juzi ..kitu ambacho sioHapo lilipata pancha?
Hio ajari imetokea muda sana na sababu ilikua ni kupasuka tairi..lakini mleta mada anasema ajari imetokea juzi ..kitu ambacho sioHapo lilipata pancha?
Aisee!!Hio ajari imetokea muda sana na sababu ilikua ni kupasuka tairi..lakini mleta mada anasema ajari imetokea juzi ..kitu ambacho sio
Jana Asubuhi na mapema nilipanda gari la Isamilo linalotokea Iringa kwenda Mwanza. Mvua ilikuwa inanyesha kubwa sana.
Tulipofika mlima Nyang'oro Dereva wa Gari alikuwa anakata zile kona za Nyang'oro kama vile ni wakati wa kiangazi na kama anapanda mlima wakati alikuwa anashuka. Kufika kona ya mwisho gari likamshinda likapaa juu na kuanguka.
Bahati nzuri hakuna aliyeumia sana isipokuwa mama na kijana mmoja ambapo yule mama alipelekwa Hospitali ya Dodoma kwa Gari la TANAPA na kijana anajitafutia matibabu mwenyewe.
Mungu yu mwema leo nipo hai kuandika habari hii.
View attachment 1344937
Muda mfupi baada ya Gari hilo kuanguka.
Unataka kuniambia hata hizi ndito zinazo tingisha mikia kama ya sungura zitakua zinavaa maburka? Hizi bar tam tam za Kinondoni nazo zitakua magofu?Kufika 2025 dar itakuwa Kama lamu
Ndio mkuuKumbe yako mabasi yanakwenda mikoani juu kwa juu bila kuja kupata baraka Dar?
Hajapatikana mkuuHakuna aliyemshukuru Dr jioni gogo ukosefu bakuli baada ya kunusurika kama yule bwege aliyeshukuru baada ya kunusurika ajalini
Point hiiKama kawaida yetu wabongo kutochukua hatua mpk tupatwe na janga.Mkuu ulishindwa nn kumpa onyo dereva mpk anaenda kuwabwaga?kuna siku natoka morogoro nimepanda new force nikawa nasikia mtu anaongea na cm kwa sauti huku anacheka nikamuuliza abiria mwenzangu nani huyu anapiga kelele hivi akasema dereva huyo aisee nilisimama kama upepo nikamfata pale nikamwambia naomba wakati umetupakia sisi abiria usithubutu tena kuongea na hiyo simu yako.Mbona alitii mpk tunafika dar hakuongea na cm tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, King cross siku hizi hazipo. Zipo Dodoma ndani ndani kule.
yaani nikuwa namwangalia, kona ya kwanza nimemwangalia tu ya pili, nikawa najiuliza tutafika kweli? mara nikasikia kwarrrrr kwatu, sinikajikuta niko chini!
Hata makonzi na makofi mkuu?..poleni sana.Tulimuonya. Hatua gani zaidi ya hiyo ndugu yangu.