Hii aipingiki jamani!

Hii aipingiki jamani!

Kuwa masikini siyo uhuru bali mtu masikini mfungwa wa umasikini kwa hiyo hayuko huru!
 
Bora nikafungwe USA hata miaka yote kuliko kuishi kwa kubahatisha bahatisha!!!,nina imani nikifungwa huko Nitafutuka hata Hayati Kaptein Komba ningemzidi kwa Unene.
 
Bora nikafungwe USA hata miaka yote kuliko kuishi kwa kubahatisha bahatisha!!!,nina imani nikifungwa huko Nitafutuka hata Hayati Kaptein Komba ningemzidi kwa Unene.

Hii ni kweli kaka yaani unilonga
 
Hii ni kweli kaka yaani unilonga

Kuna mawazo kama ya kuku wa kisasa anaefungiwa bandani. Kuku wa kienyeji yuko huru hapewi pumba lakini miguu yake ndo mtaji wake hakosi mlo! Hategeme mtu thubutu kuku alieko bandani akichelewa kuwawekea chakula! Yupi bora?
 
Mfungwa sio gerezani tu hata ufinyu wa kufikili ni ufungwa tu.
Kwani kula vizuri ni uhuru?
 
Back
Top Bottom