Hii Adobe photoshop CS6 mbona inanichanganya wakuu

CS6 full version ina GB 8.1 hizo nyingine zinakuwa cracked kupata moja moja.
Ila complete ina. Adobe PS, illustrator, InDesign, dreamwiver, fireworks, flash, Incore, adobe reader, nk.
 
Haina kamilika hiyo chief
 
C

chief nieishusha na kuinstall lakini naitafuta kwenye pc siioni,ila file lipo
Pale ulipoinstall ilikuletea option ya kuchagua folder hapo ndio ilipo, sijajua wewe umechagua wapi.

Jaribu maeneo haya
-folder hilo hilo ambalo kuna setup angalia kama kuna folder jengine limeongezeka.
-local disc C
-local disc C then program files.
 
folder lipo tena kwenye desktop kabisa hapa naliona.Ile application ndo haionekani kwenye program list. au kuna process haijakamilika
 
File Hilo hapo. Hatua inayofuata?
 

Attachments

  • IMG_20200619_132532_9.jpg
    160.2 KB · Views: 1
File Hilo hapo. Hatua inayofuata?
Ingia ndani ya hilo folder utaikuta photoshop, sababu ni portable kuna uwezekano mkubwa isitokee kwenye program list (portable app inaweza fanya kazi hata kwenye flash).

Ukishaiona right click kisha run kama Administrator itafunguka.
 
Nimeright click imekuja hii
 

Attachments

  • IMG_20200619_144326_7.jpg
    74.3 KB · Views: 1
 

Attachments

  • IMG_20200619_152725_6.jpg
    130.9 KB · Views: 3
  • IMG_20200619_152725_6.jpg
    130.9 KB · Views: 3
Mkuu huja li rename file hili? Mbona exp badala ya exe?

Ngoja nikiwa home niweke hii version nione kwangu itakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…