GUI
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 1,847
- 1,301
Wewe upo upande gani mkuu?Nimesoma comments zote...zingine zinatia huruma zingine ni za kikatili .. zingine ni za kusaidia
Wewe upo upande gani mkuu?Nimesoma comments zote...zingine zinatia huruma zingine ni za kikatili .. zingine ni za kusaidia
Mwanamke ni mdogo sana ki umri, lazma asumbue sana huyo. Mpaka akifika 28 huko ndio nyumba itatulia. Hapo ni kama na jamaa kuchukua majukumu ya mzazi tu ila hajaelewa.Mkuu ulipata bahati ya embe "nice and fresh" sasa hili linakuja na utomvu wake.
Hakuna kitu kinaboa kama mwanamke mwenye dharau. Kila ufanyalo hata liwe zuri kiasi gani ataweka ngumu tu. Inaumiza mno hasa kwa sie ME tunaojiheshimu.Baya hapo ni moja, hilo namba moja,
Dharau tafsiri yake hakubali kuongozwa na wewe na hawezi kuwa mtii,ni km vile serikali ambayo watu hawamkubali rais wao kinachofuata ni mapinduzi, ili nyumba iendelee lazima kiongozi akubaliwe na anaowaongoza,km hilo halipo tegemea lolote muda Wowote,dharau ndo mama wa uharibifu ktk ndoa, omba MUNGU ambadirishe vinginevyo kaa tayari
Hili nakataa mkuu, mwanamke kuheshimu sio umri tu kuna mambo mengi sana nyuma ya pazia. Binafsi naona kuna makundi mawili makuu ya wanawake katika minajili ya heshima ndoani.Tena Kwa taarifa yenu wanawake wakiwa wadogo huwa na heshima Sana maana anakuogopa wakiwa wakubwa huwa wanatuchukulia poa sana
Hizo dharau huwa mnaziona mkishawaoa? Unamnyoosha tu, ubavu wako unakushindaje.Mtu wa dharau utaongea nae nn,maana kabla ya Kusema unachodhani kinajenga yy Kesha dharau
Hujui Kama unapendwa lakini siku ukijua utakuwa umechelewa,anakunusa maana unamkuna vizuri,kuzira akizira we mpige miti tu!Husika na kichwa cha habari hapo juu.Hii sio story ni mambo ambayo yanaendelea katika nyumba yangu kwa kweli niliowa kwa leo kwa kutegemea kuna vitu nitavikuta katika ndoa lkn imekuwa ni kinyume na matarajio yangu
1. Dharau
Yani siku nikinunua mboga ambayo haipendi lazima ataitupa au kuzila na hatopika na maneno ya kashfa hii haangalii tuko wapi.
2. Wivu uliopitiliza
Natoka alfajiri kwenda job narudi jioni kabisa kichwa kimechoka natarajia kutulizwa na kupewa pole ila ilo zogo home utatamani urudi job ila ndio washafunga.
3. Uaminifu
Yani inafika stage nikirudi kazini nivuliwa nguo nasuswa kama sijachepuka
Nikienda kwa rafiki nikirudi lazima ipigwe simu kujua kama nilikuwa hoko
Swali hivi ndoa ndio ziko hivi zote?
Kuna umuhimu gani wa kuwa kwenye ndoa na wakati humwamini mwenzio hata 1%!
Kibaya zaidi ukimkanya tu ananuna anenda beach. Alafu tuko nchi xa watu kwa kweli namrudisha.
Am out namuacha kwa kweli this is too much.
[emoji125] mm mbiooooo
Mi naimba tu jamani, mtuchagueeee na kutuchambuaaa kama nyanya sokoni alafu bado tena mnung'unike!! Ifikie hatua tukubaliane na uhalisia kuwa hakuna binadamu mkamilifu, kila mmoja ana mapungufu yake. Hivyo basi badala ya kulaa tunahesabiana makosa tuuu hebu tuhesabu na mazuri ya wenzetu. Then hayo madhaifu mrekebishane taratibu huku mkiombeana kwa Mungu.Weeeeeeeee cheusi weweee
Kwa mwanaume ni mtoto kwakweli.29 mtoto?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Tena Kwa taarifa yenu wanawake wakiwa wadogo huwa na heshima Sana maana anakuogopa wakiwa wakubwa huwa wanatuchukulia poa sana
Wivu ganu huo wa kutupa mboga.Kuna unalofanya ambalo lamfanya asiwe na Imani nawe, suala la dharau ni kuambizana tu yanarekebishika mkuu!!
Wivu kwenye mapenzi lazima uwepo tuu kama hamna wivu jua hupendwi!!
Kaeni chini myazungumze bwanaa
Hii ni hatari zaidiiiiii mkuuu, mrudishe kwao akajifunze1. Dharau
Yani siku nikinunua mboga ambayo haipendi lazima ataitupa au kuzila na hatopika na maneno ya kashfa hii haangalii tuko wapi.
Hasira hizoWivu ganu huo wa kutupa mboga.
Ndo hizo zinazoweza kumpeleka pabaya.Hasira hizo