Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,610
Ndo matatizo ya kuoa magoli kipa
Labda kweli lakini nimejitaidi kwa kweliSiri ya mafanikio katika mahusiano yeyote ni mawasiliano mazuri, ukirudi nyumbani piga wa lazima uongee na mpenzi wako kuhusu yale unayoona yanakukera na mkimaliza mnasindikizia maongezi na tendo.
Mshirikishe mshenga aliyepeleka barua ya posa kwao.Labda kweli lakini nimejitaidi kwa kweli
Unaonaje ukikaa na mkeo mkajadili kuhusu hizo tabia? maana uku sidhani kama ni sehemu sahihi.Husika na kichwa cha habari hapo juu.Hii sio story ni mambo ambayo yanaendelea katika nyumba yangu kwa kweli niliowa kwa leo kwa kutegemea kuna vitu nitavikuta katika ndoa lkn imekuwa ni kinyume na matarajio yangu
1. Dharau
Yani siku nikinunua mboga ambayo haipendi lazima ataitupa au kuzila na hatopika na maneno ya kashfa hii haangalii tuko wapi.
2. Wivu uliopitiliza
Natoka alfajiri kwenda job narudi jioni kabisa kichwa kimechoka natarajia kutulizwa na kupewa pole ila ilo zogo home utatamani urudi job ila ndio washafunga.
3. Uaminifu
Yani inafika stage nikirudi kazini nivuliwa nguo nasuswa kama sijachepuka
Nikienda kwa rafiki nikirudi lazima ipigwe simu kujua kama nilikuwa hoko
Swali hivi ndoa ndio ziko hivi zote?
Kuna umuhimu gani wa kuwa kwenye ndoa na wakati humwamini mwenzio hata 1%!
Am out namuacha kwa kweli this is too much.
[emoji125] mm mbiooooo
Mvumilie hilo ni chaguo lakoAlikuwa ila kajifungua nilihisi labda ni mimba lkn imeendelea mpk baada ya kujifungua my
Hapana kaka. Inaweza rekebeshika tu. Na mkawa kawaidaNa hii ishavunjika ni karaha
Kaa nae uZungumze nae tatizo alikimbiwi linatatuliwa.Kubadilishana uzoefu
Pole Sana ndio ukubwa huoMungi mwenyewe ndio anajau