SUPER ZERO
Member
- Feb 1, 2017
- 68
- 52
Umesema ulitegemea kuna vitu utavikuta ndani ya ndoa, vitu vyenyewe ndio hivyo unavyoviona
Salutefursa Mzee.
Hata msibani wafiwa hununua misosi Mzee
Sawa mkuu nimekuelewaNa sio kila mwanamke anafaa kua mke,,yaaan mwana halaf kuna mke,,mke hakui,mke anasikiliza,mke anakuliwaza,mke anakutii,mke anakushauri mema,mke anakulinda,mke namaanjsha mke,ila wewe hna mwanamke ambae sio mke,so unaumia kutokana na mwanamke ulie nae ila ungepata mke yasingekua haya,,,najua nmekuchanganya sana ila nitakufafanulia usijali...
Tatizo lolote unaloliona kwa mwenzako sio yeye bali ni wewe,,tatizo lina sourse,sourse ya tatizo lako wew ni jinsi unavyomuona yeye,,na mbaya umempenda huyo mwanamke ila ukasahau kumpenda kama mwanamke unataka kumpenda kama mwanaume mwenzako,,ukishaingiza kumpenda na kumchukulia kama mwanaume mwenzako tatizo zoote utaziona kwake bila kujua chanzo ni wewe unaeona...
Wataalam wa saikolojia tunaamin kwamba wanawake wanasema vingi wasivyomaanisha na kusema vichache wanavyomaanisha..ndio silika yao hyo..kama wewe hupend chakula fulan ukikuta amepika unajisikiaje??? Ukijisikia vbaya bas jua tatizo ni wewe sio yeye.
Ok nitaufanyia kazi ushauri wakona yeye anasema hili ndilo litanifanya nimuache mume wangu,lol
bora usolve matatizo yako na mkeo,
ukimuacha ukakutana na mwingine ambae ni afadhali ya huyu,utafanyaje?
kama mna watoto pigana uinusuru ndoa yako,mengine muachie Mungu.
Ok nitaufanyia kazi ushauri wako
Ha ha ha ha kumbeUlifikiri kuoa mteremko? Hilo ndilo jaribu la mume halisi unapigana unashinda wala ndoa haivunjiki na mke unambadili ananyoosha njia. Acha kulialia "be a man" na hapo hujapigwa makofi...ukimgusa yeye mke anakuwa na presha ghafla ya kulazwa ndiyo urapata akili. Tatua tatizo usikimbie mwanamume
Ana ujauzito?Very mpole mpk unapenda yani
Sometimes mnaboa sana aiseeKuna unalofanya ambalo lamfanya asiwe na Imani nawe, suala la dharau ni kuambizana tu yanarekebishika mkuu!!
Wivu kwenye mapenzi lazima uwepo tuu kama hamna wivu jua hupendwi!!
Kaeni chini myazungumze bwanaa
HICHI ndiyo nini?Husika na kichwa cha habari hapo juu.Hii sio story ni mambo ambayo yanaendelea katika nyumba yangu kwa kweli niliowa kwa leo kwa kutegemea kuna vitu nitavikuta katika ndoa lkn imekuwa ni kinyume na matarajio yangu
1. Dharau
Yani siku nikinunua mboga ambayo haipendi lazima ataitupa au kuzila na hatopika na maneno ya kashfa hii haangalii tuko wapi.
2. Wivu uliopitiliza
Natoka alfajiri kwenda job narudi jioni kabisa kichwa kimechoka natarajia kutulizwa na kupewa pole ila ilo zogo home utatamani urudi job ila ndio washafunga.
3. Uaminifu
Yani inafika stage nikirudi kazini nivuliwa nguo nasuswa kama sijachepuka
Nikienda kwa rafiki nikirudi lazima ipigwe simu kujua kama nilikuwa hoko
Swali hivi ndoa ndio ziko hivi zote?
Kuna umuhimu gani wa kuwa kwenye ndoa na wakati humwamini mwenzio hata 1%!
Am out namuacha kwa kweli this is too much.
[emoji125] mm mbiooooo
Uchumba it was 4yearsMlichukua mda kiasi gani kabla ya kuingia kwenye ndoa? Na maanisha uchumba, hapo kwenye huo uchumba hukuona tabia hizi?
Una miaka mingapi? Na mkeo je?
Ndoa yenu ina umri gani?
Jibu kwanza hayo maswali ili tujue tunakusaidiaje.