[emoji124] [emoji124] [emoji124] ...utanzibia riziki we Kijana.. Shikamoo zenu leteni pm bhanaOook. Shkamoo.
Ukimuacha njoo kwangu raha siku 365 na roboHusika na kichwa cha habari hapo juu.Hii sio story ni mambo ambayo yanaendelea katika nyumba yangu kwa kweli niliowa kwa leo kwa kutegemea kuna vitu nitavikuta katika ndoa lkn imekuwa ni kinyume na matarajio yangu
1. Dharau
Yani siku nikinunua mboga ambayo haipendi lazima ataitupa au kuzila na hatopika na maneno ya kashfa hii haangalii tuko wapi.
2. Wivu uliopitiliza
Natoka alfajiri kwenda job narudi jioni kabisa kichwa kimechoka natarajia kutulizwa na kupewa pole ila ilo zogo home utatamani urudi job ila ndio washafunga.
3. Uaminifu
Yani inafika stage nikirudi kazini nivuliwa nguo nasuswa kama sijachepuka
Nikienda kwa rafiki nikirudi lazima ipigwe simu kujua kama nilikuwa hoko
Swali hivi ndoa ndio ziko hivi zote?
Kuna umuhimu gani wa kuwa kwenye ndoa na wakati humwamini mwenzio hata 1%!
Kibaya zaidi ukimkanya tu ananuna anenda beach. Alafu tuko nchi xa watu kwa kweli namrudisha.
Am out namuacha kwa kweli this is too much.
[emoji125] mm mbiooooo
Hilo ni dogo mno ntauza nyumba ya urithi nipate nauli nikufate....Ha ha ha ha sawa usijali ila uwe tayari kuishi nje ya tz
Kuna kutokamilika na kuna makusudi, yupo mambo mwanamke akikosa hafai kuwa mke,yapo mambo pia mwanaume akiyakosa hafai kuwa mume,Ulichukua hatua gani kurekebisha haya mambo uliyotueleza? Kumbuka hakuna binadamu aliyekamilika labda kama unampango wa kuwa baba paroko.
Acheni kumsingizia Mungu,dharau ni jaribu?,ipo tofauti ya jaribu, pig na ufisadi, dharau ni ufisadi ndani ya ndoa, MUNGU hakuumba dharau ndani ya mke,aliumba utii, dharau ni makusudi, dharau ni gugu ndani ya ndoa, utamuongozaje mtu anaekudharau, hebu lifikirie neno dharau Kwa mapanaUlifikiri kuoa mteremko? Hilo ndilo jaribu la mume halisi unapigana unashinda wala ndoa haivunjiki na mke unambadili ananyoosha njia. Acha kulialia "be a man" na hapo hujapigwa makofi...ukimgusa yeye mke anakuwa na presha ghafla ya kulazwa ndiyo urapata akili. Tatua tatizo usikimbie mwanamume
Lakini pia haya ni matokeo ya kuingia katika ndoa either kwa sababu ilikuwa ni lazima ili upate faida au kufanikisha jambo flani ama kuingia ktk ndoa kwa haraka kabla hamjajuana vema kuhofia mmoja wapo kuporwa na muoaji/muolewaji mwingine!Siri ya mafanikio katika mahusiano yeyote ni mawasiliano mazuri, ukirudi nyumbani piga wa lazima uongee na mpenzi wako kuhusu yale unayoona yanakukera na mkimaliza mnasindikizia maongezi na tendo.