Hichi ndicho kitafanya nimuache mke wangu

Hichi ndicho kitafanya nimuache mke wangu

Kwa hiyo wewe baba wa familia unarudi kutoka kazini mke anakwambia vua nikunuse kama hujachepuka...na wewe huwa unavua nguo kweli!!!?
Shida unayo wewe sio mkeo!!
 
Ndg nakushauri uvumilie,kwani ndoa za karne hii zinaitaji uvumilivu wa hali ya juu,vinginevyo utaoa sana na kuacha wanawake wa leo heshima,utii na adabu ni zero kwa baabhi yao usikimbie matatizo pambana mtoto wa kiume jaribu kumuelimisha kuwa kuna mambo huyapendi anaweza akabadirika.
Yah ahsante kwa ushauri mzuri
 
Kwa hiyo wewe baba wa familia unarudi kutoka kazini mke anakwambia vua nikunuse kama hujachepuka...na wewe huwa unavua nguo kweli!!!?
Shida unayo wewe sio mkeo!!
Yani we acha tu
 
Tatzo kubwa la ndoa au mahusiano ni kutokuwa na muda wa kuwasoma wapenzi wetu (wakati wa uchumba). Ungelitambua hilo mapema uchumba ungevunjwa, lakn kama tyr umemwoa ni sheeeeda! Jaribu kutoka nae out na mwambie unavyojisikia, ukikwama waone Ma- best wenu wa ndoa kwa ushauri zaidi.
 
22 duuuh bas hvyo anavofanya sishangai,, hajapata bado akili za kuishi kwenye ndoa
 
Ongea nae km unampenda, ila ukisusa wenzio watakula bila shida yeyote
 
Madhara ya ndoa za utotoni
Asante mkuu nilitaka kusema hivi hivi,nimeangalia profile yake nikajua tu huyu kaowa katoto aged18 maana yeye mwenyewe kama wa muda mrefu basi wa 1993/1994.vijana msivamie ndoa mkidhani 100% ni raha no kuna changamoto zake zinazohitaji kuvumilia.
 
Uchumba it was 4years
Me 29
Ke 22
Ndoa 4
Uchumba miaka 4 sio mbaya inatosha kabisa kufahamiana kitabia. Kwa hesabu za haraka ulianza uchumba na huyo binti akiwa mdogo sana(miaka 14) na ukamuoa mapema sana akiwa na miaka 18.
Mkeo bado mdogo sana ana akili za kitoto na hajui maisha. Mkuu ulimuwahi sana lazima akusumbue tu.

Sasa basi kwa vile umeshaongea naye sana kwa upole hakuelewi tumia nguvu kidogo yaani mpe kichapo ikiwezekana heavy kidogo maana bado mtoto huyo na mtoto bila fimbo haendi yahee!
 
Back
Top Bottom