Hichi kifaa kina kazi gani?

stardust JK

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
2,975
4,207
Kwa wanaojua, kazi yake ni nini hospitalini???
FB_IMG_15855958574480038.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinatumika wakati wa kuwekewe machine ya kupumulia, kinaitwa laryngoscope. Unapanuliwa mdomo,kuna balbu ndogo kwa pembeni,kinamulika koo la hewa wakati wa kuwekewa mpira unaotoka kwenye mashine ya kupumulia. Kipindi hiki cha corona haya maelezo naona yatosha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom