hi!

hi!

pilu

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2011
Posts
488
Reaction score
43
Hatimae nimejiunga na "MA GREAT THINKER" am hap na natumaini ntapokelewa kwa mikono miwili wajameni!
 
karibu sana!
soma sheria za JF kabla hujakutana na mkono wa mheshimiwa PAW.
 
karibu sana!
soma sheria za JF kabla hujakutana na mkono wa mheshimiwa PAW.

Nimeshasoma ,ila nashukuru kunisisitiza ngoja nsome tena kwa faida yangu.
 
Karibu sana Pilu JF ni full burdani, ila inabidi tuhame mapema cheo hiki cha Member tuwe kama kina Safety fist ohhoo sory last, the finest, katavi, chatu dume, ritz, ulimankafu na wengine wengi. (premium, senior expert member) tuzingatie vigezo na masharti.
 
Back
Top Bottom