Ahsante great thinkers wenzangu. Tatizo langu hua nashindwa kuzuia jazba haya madudu yanayoendelea ktk nchi hii, ila kwa hii id ya jina langu halisi nadhani naweza kudumu kidogo he he hee! Nimemtest invisible sijapata hata warning he he hee! Haya sasa, fasta fasta tukutane jukwaa la siasa.