Hi Wanajamvi la JF !

lumbagengata

Member
May 16, 2011
27
2
Hongereni wana jf kwa kupambanua changamoto mbalimbali za wanajamii hii ,nani naomba kuunga mkono juhudi hizi za upambanuaji wa fikra mbalimbali hatimaye kuleta tija ktk maisha
 
Ila, ban ... ndio nini?

Ban ni adhabu unayo pewa baada ya kuvunja kanuni za jf. pitia kanuni za jf kwanza kabla ya kuandika chochote. Unaweza kufungiwa maisha kuingia jf kama umevunja kanuni. baadhi ya mambo ambayo unabidi ujiepushe nayo ni;
:Lugha za matusi
:Kutoa habari za uongo.
:Kugombanisha jamii.
:habari za uchochezi.
:kumvunjia heshima member mwenzio
:kutoa hadharani maongezi ya private message n.k.
KARIBU SANA.
 
Ahsante Mkuu kwa kunijuza umuhimu wa kanuni,nitafanyia kazi. Nakushukuru sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom