karib sana. unaonekana ni mtaalam sana wa lugha za kigeni, hii n faraja kwa forum hii ambayo mpaka sasa inakabiliwa na tatizo la memba wengi wanaoongea broken english. tunategemea utasaidia kurekebisha hili tatizo. karib sana
ukitaka kunigongea senks, pana kitufe hapo kushoto chini ya post yangu. ukikiclick utabarikiwa sana.
asante kwa ushirikiano