Hi MMU nimewamiss namshukuru Mungu ndege wangu yupo poa, eeh Yesu nibebe nami nitabebeka

zinc

JF-Expert Member
May 24, 2013
1,392
1,066
Ndugu wana JF,

Naendelea vizuri kabisa na mpenzi wangu ambapo hapo awali alikuwa rafiki yangu, naomba niondoe ukungu uliopo kwa kutoa tamko hadharani kwa wadau wangu. Mpenzi wangu anaendelea vizuri kabisa, nilishindwa kukutana nae kama wiki tatu hivi kwa sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wake, si mnajua tena nilichokifanya haikuwa kazi rahisi, tuachane na hayo.

Mwaka ujao nategemea kumvalisha pete mpenzi wangu, sitaki kumuacha kabisa kwa sababu tumefungua ukurasa mpya, sipendi tabia mbaya na yeye hapendi tabia mbaya, wote tunamtumaini Yesu japokuwa tulifanya dhambi katika mazingira ambayo hatukuwa na jinsi, kwa wale ambao mlikwazika na threads zangu lakini ki moyoni mnazikubali naombeni mnisamehe, lakini natoa shukrani zangu za dhati kwenu nyie wadau wote wa MMU JF.
 
dah,,,,,toka kumshika kiuno kwa hali ya kawaida hadi uchumba,,,,,,msizini basi hadi ndoa,,,,,, zinc
 
Last edited by a moderator:
Ha haaa..hongera kijana. Mungu awasaidie mfike mbali. Vip lakin bado una...au basi tu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom