Hi mambo nipe number yako basi

Mi huwa nawaomba e-mail namba nawaachia ninyi kuna demu nilimwomba email akanambia hajawahi ombwa email tangu aliniona wa tafaut sana akanipa bila hiyana
 
wife kutwa hutoa namba yangu...
basi nikiona vimesej vya mambo ? umeshindaje?
napiga simu chaaap..utasikia kijana anagwaya wrong number...
nikimpigia wife watu wake wamepiga anacheeeeeeeeeeka..shenz..
Kuna nyingine hakupi.....
 
Hi, Sky can i get your number please??
On serious note i really need your number!
 
Naomba namba
 
Ni kweli shemeji. Sisi madomo zege hapo tunakuwa tumejitahidi sana. Siku hizi ndio maana wanasema wanawake wamekiwa warahisi maana akiombwa namba katoa
 
We mdada kwan namba ni tatizo? Halafu mkishindwa kusaidiwa baadae muanze kulalamika. Hi you!
 
Ukitaka kula vizuri hutakuwi kuwa na haraka.wanaomba namba haraka haraka huwa sio wanaofaidi.hakuna raha kama kuongea na mwanamke mzuri halafu humwombi namba wala jina lake.unaondoka na just a clue ya kukutana nae tena bila yeye kujua ameshatoa direction.
 
Hahaa unikumbusha jamaa yangu mmoja alimuomb demu mmoja mkali kinyama namba, demu akakataa jamaa akarud kainama nikamuuliza sugu vipi( hua namuitaga sugu) akasema twenzetu huyu demu atakua mpare ndo mana ni mbahili mpaka kwenye namb ya simu
 
yes ni kuumpa go Ahead

Na ukiona unaombwa number kirahisi ujue unamuonekano wa mtu rahisi rahisi

nashauri tu Wadada wasiwe na story nyingi na mijitu cheap kama hii
 
In real sense anakuwa haombi namba ila anaomba ngono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…