Lukansola JF-Expert Member Sep 5, 2010 5,435 1,597 Oct 24, 2011 #101 Junior. Cux said: hapa stress lazma ziishe.!! we mkale kk.. Click to expand... Pamoko mkuu tunakula naye sahani moko, si katuanza mwenyewe, anatuletea usharobaro hapa! Miss Merikani bongo!!!!??
Junior. Cux said: hapa stress lazma ziishe.!! we mkale kk.. Click to expand... Pamoko mkuu tunakula naye sahani moko, si katuanza mwenyewe, anatuletea usharobaro hapa! Miss Merikani bongo!!!!??
sweetlady JF-Expert Member Dec 24, 2010 16,947 8,409 Oct 24, 2011 #102 Lukansola said: Sweetlady umeona eeh! Lazima nikomae, kufanya kazi na Miss America mchezo!!! Click to expand... Nimeona mpendwa, huko aliko nadhani atakuwa anafikiria kukupa ajira!.... Ukipata uwe mtiifu kwa bosi, sawa eeh!
Lukansola said: Sweetlady umeona eeh! Lazima nikomae, kufanya kazi na Miss America mchezo!!! Click to expand... Nimeona mpendwa, huko aliko nadhani atakuwa anafikiria kukupa ajira!.... Ukipata uwe mtiifu kwa bosi, sawa eeh!
Lukansola JF-Expert Member Sep 5, 2010 5,435 1,597 Oct 24, 2011 #103 sweetlady said: Nimeona mpendwa, huko aliko nadhani atakuwa anafikiria kukupa ajira!.... Ukipata uwe mtiifu kwa bosi, sawa eeh! Click to expand... Sweetlady wahenga walishasema chezea mshahara, usichezee kazi. Na nikipata nitakukumbuka kwenye salari ya kwanza kwa ushauri wako mzuri.
sweetlady said: Nimeona mpendwa, huko aliko nadhani atakuwa anafikiria kukupa ajira!.... Ukipata uwe mtiifu kwa bosi, sawa eeh! Click to expand... Sweetlady wahenga walishasema chezea mshahara, usichezee kazi. Na nikipata nitakukumbuka kwenye salari ya kwanza kwa ushauri wako mzuri.
sweetlady JF-Expert Member Dec 24, 2010 16,947 8,409 Oct 24, 2011 #104 Lukansola said: Sweetlady wahenga walishasema chezea mshahara, usichezee kazi. Na nikipata nitakukumbuka kwenye salari ya kwanza kwa ushauri wako mzuri. Click to expand... Hahahaha! Sante sana Lukansola, na mimi nazidi kufanya maombi hapa nna hakika maombi yangu hayataenda bure lol!
Lukansola said: Sweetlady wahenga walishasema chezea mshahara, usichezee kazi. Na nikipata nitakukumbuka kwenye salari ya kwanza kwa ushauri wako mzuri. Click to expand... Hahahaha! Sante sana Lukansola, na mimi nazidi kufanya maombi hapa nna hakika maombi yangu hayataenda bure lol!
ntamaholo JF-Expert Member Aug 30, 2011 12,906 6,909 Oct 24, 2011 #105 [[COLOR=#006400 said: Rejao[/COLOR]] Acha kutuzingua wewe. Hii JF ni ya wabongo tu. Tunaongelea shida zetu, matatizo yetu na raha zetu. Kama wewe ni mwamerika kaa kando! Nenda kule kwenye facebook yenu. Click to expand... Mzee said: we kiumbe, mjibu kistaarabu ujue hao ndio wawekezaji. Click to expand... akili zenu huwa zinalingana, naona mda huu mmepishana. hongereni kwa mmoja wenu kuwa mzalendo na mwingine kuendelea kuwa kuadi wa soko huria
[[COLOR=#006400 said: Rejao[/COLOR]] Acha kutuzingua wewe. Hii JF ni ya wabongo tu. Tunaongelea shida zetu, matatizo yetu na raha zetu. Kama wewe ni mwamerika kaa kando! Nenda kule kwenye facebook yenu. Click to expand... Mzee said: we kiumbe, mjibu kistaarabu ujue hao ndio wawekezaji. Click to expand... akili zenu huwa zinalingana, naona mda huu mmepishana. hongereni kwa mmoja wenu kuwa mzalendo na mwingine kuendelea kuwa kuadi wa soko huria