Hi, I'm new here please welcome me

Hi, I'm new here please welcome me

Jameni mimi ni mgeni hapa ndio naingia hivi, haya mabegi naweka wapi?
Karibu sana jukwaa la wastaarabu, wasomi, wachukia rushwa, wasiopenda viongozi wabadhilifu, wasiri, watoa taarifa muhimu Kwa serikali namna ya kuendesha mambo, wasiopenda utawala mbovu na wakimabavu, wanao ushauri serikali na jamii Kwa ujumla na mengine mengi. Karibu jukwaa huru.
 
Back
Top Bottom