Hi every one:)

Hi

afadahili hata wewe husemi karibu hahahaha lol

.........naogopa,kwani wewe si mwenyeji kuliko miye,tena nianze kwanza kwa shikamoo..........lakini pia karibu na wk end njema
 
Afrodenzi kala ban kwa kosa lipi jamani?:sick::sick::sick::A S 20::A S 20:
 
Karibu Sana, zingatia sheria za JF usije ukala BAN okay karibu PM gonga hodi kabla haujaingia lol!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…