The secretary hapo umeniacha mataa ya ubungo hebu kamu zis wei unitafasarie ili na mimi nijue kabla Obama hajaja bana
Lady doctor ngoja nimtafute Kaizer na Asprin wanifundishe namna ya kuongea na wale FBI nikikatiza wajue na mimi am coming from America
Eti Lady doctor umeniita?
oooshhhhhHello guys, this is an introductory note from Mrs Bishanga. I love you all is all i can say for now. Collaboratively will make CCs a better place for everyone. Just take me as I am.
Thanks.
Final: Brazil 3, Spain 0
Eti Lady doctor umeniita?
Nimeamka Mrs Bishanga haya twende kazi...
oooshhhhh
nwemwemwemwemwe ur humbly welcome,karibu sana,TANGAZO LEO CC HAKUNA KUJA MJINI WALA AIRPORT KUNA MGENI MPYA AKA Mrs Bishanga
Afu mwandiko wako umekaa ki ME....!??
Lady doctor nimemuwona bana Mrs Bishanga anakuja na swagga za kiingletha
manoah niko salama kabisa aise za kwako wewe
Female-hood is my sex, do you wanna try make me a man?
and who are u?
I had some family responsibilities to attend. tell me how is your family doing?
and who are u?
Familia yaendelea vyema...kwa maswali mwengine nifuate ofisini kwangu au niPM
Before telling you who Am I,would you mind if you first introduce yourself to me?