The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
The secretary nilikuambia ukadharau umeona sasa amekuja mwenyewe na kiingletha kingi
Bishanga mwambie huyo mke wako kuwa humu wote hatujasoma tumeishia kindergarten ya chuo kikuu hivyo asituletee viingletha vingi
Mwendo mdundo
We Mr.Rocky hajui huku tupo watoto tuliozaliwa uswazi ni kikware kwa kwenda mbele
Mkaguzi wa kiume anahitajika
The secretary hajui kuwa hata kama shule hatujaenda huwa tunakutana na wazungu tukaanza na this..... That..... Mpaka mwisho lugha inapanda aise
Ahaha me is The secretary you coming from america is good ,africa is biulifu biulifu jesus is good america good good ,San antonio is biulifu biulifu OBAMA atanikoma
Lady doctor mi mzima kabisa aise namshngaa mrs wa watu kaka na viingletha vingi wakati humu sisi wote shule tumesoma za st kayumba
Ahaha me is The secretary you coming from america is good ,africa is biulifu biulifu jesus is good america good good ,San antonio is biulifu biulifu OBAMA atanikoma
Wine au komfusheni.
The secretary hajui kuwa hata kama shule hatujaenda huwa tunakutana na wazungu tukaanza na this..... That..... Mpaka mwisho lugha inapanda aise
piga goti na utende!!
The secretary hapo umeniacha mataa ya ubungo hebu kamu zis wei unitafasarie ili na mimi nijue kabla Obama hajaja bana
Lady doctor ngoja nimtafute Kaizer na Asprin wanifundishe namna ya kuongea na wale FBI nikikatiza wajue na mimi am coming from America
eeeeeeh! nitarudi Mr Rocky mzima wewe+