Pole sana.....lakini hii ni topiki nyingine hapa sio mahali pake!Jamani kuulamba ukiwa ofisini ni kosa ? Mwenzenu leo yamenikuta boss wangu kanikaripia kama mtoto mdogo mbele ya watumishi wenzangu kisa nimevaa suit na tai, kaahidi kunihamishia kijijini ili aone kama na huko nitaweza kuvaa suit na tai maana nitakuwa nashinda stoo. Sawa hiyooooooo !
Karibu kijana Tena nipazuri kweli kwelinafurah kuwa hapa,nadhani ni mahala pazuri kwangu