Hezbollah waliendaga wapi? Netanyahu aongezwe kwenye biblia

Hezbollah waliendaga wapi? Netanyahu aongezwe kwenye biblia

Hii ni statement imetolewa na muyahudi kuhusu Hezbollah wewe wa nanjilinji unasema Hezbollah hawapo

🇮🇱🇺🇸❌🇱🇧🇱🇧🇮🇷 Reuters, citing two high-ranking Lebanese officials, states that Israel has conveyed a message to Lebanon warning that it will carry out extreme strikes in Lebanon, including on civilian infrastructure and Beirut airport if Hezbollah intervenes in any war between the United States and Iran.

@Palestine_Updates
Hiyo ni Confirmed!!!!
 
Mzayuni ni tegemezi wa msaada wa US
Na ikitokea Raisi wa US Kama ilivyo Trump Yukon poa kutoa mabilioni ya hela ya silaha, mzayuni ataonekane ni mshindi kila siku
Ikitokea Kama ilivyotokea 2006 wakati wa Bush,hakuwapa senti ya msaada, walikula kipondo
Imepaki Historia mashariki ya kati no more Hizbolah
 
Mzayuni ni tegemezi wa msaada wa US
Na ikitokea Raisi wa US Kama ilivyo Trump Yukon poa kutoa mabilioni ya hela ya silaha, mzayuni ataonekane ni mshindi kila siku
Ikitokea Kama ilivyotokea 2006 wakati wa Bush,hakuwapa senti ya msaada, walikula kipondo
Kwani naninyi si mnamtegemea alla mbona kila siku anafali,hata Maka ina lindwa na mazayuni kupitia USA.

Kobazi hamjawahi miliki akili.
 
Wapo, waliomuua kiongozi wao ni US si Israel... Israel hawana ndege yenye uwezo wa kubeba bunker buster nzito.

Jeshi la Israel lilishindwa kuingia Lebanon. walipambana wakadhibitiwa na Hezbollah.

Yote na yote wapo vizuri sana, kupambana na nchi kama Israel ikisaidiwa na US hata TPDF iungane na KDF na UPDF hawana uwezo kupambana na IDF inayopewa msaada wa kila aina toka US na Magharibi.
Jeshi la 6 duniani kwa ubora. IDF ni sisimizi.

Tanzania don't want war if you want war, we have seen war, am sure someone else will raise your kids...don't mess with Jeshi la 6 kwa ubora duniani
 
Hezbollah bado ipo na ina ushawishi Lebanon. Kushindwa battle haimaanishi ndio kimeshindwa VITA. Ni kama Venezuela tu wameteka kiongozi ila uongozi wote uliobaki bado upo intact na maisha yanaendelea.
Wamekua simba wa kwenye makaratasi kwa sasa wanatia huruma na kuomba rehema kutoka kwa mayahudi.

Wajichanganye tena waone
 
Wamekua simba wa kwenye makaratasi kwa sasa wanatia huruma na kuomba rehema kutoka kwa mayahudi.

Wajichanganye tena waone
Kumbe wapo? Nilifikiri kimeshakufa!!

Hitler alizingua sana kuwaacha wayahudi, ilitakiwa awamalize wote hii shida isingekuwepo tena.
 
Kumbe wapo? Nilifikiri kimeshakufa!!

Hitler alizingua sana kuwaacha wayahudi, ilitakiwa awamalize wote hii shida isingekuwepo tena.
Ustadhi Mukhaila Ahmed Masanyiwa.Tomorrow is Jumaat. Go and pray Allah's divine and sence in your life.
I vividly remember when you triumphed when Joshua(a young innocent Tanzanian) that was killed by your fellow jihadists in a cold blood as he innocently walked past the vicinity where Israelites were holding social gathering.
you just commented on this forum; kifo ya Joshua ni Collateral Damage: simultaneously condemning israel for browing up terrorists(Hamas) hideouts.

your hatred towards Jews and Christians is Palpable.
your comments are Oozing hate and malice from them.
 
Attachments

  • Screenshot_20250722_124953_Google.jpg
    Screenshot_20250722_124953_Google.jpg
    110.6 KB · Views: 4
Ustadhi Mukhaila Ahmed Masanyiwa.Tomorrow is Jumaat. Go and pray Allah's divine and sence in your life.
Unfortunately I'm not a Muslim, it's jaw-dropping how supporting Hezbollah and Hamas makes you Muslim?
I vividly remember when you triumphed when Joshua(a young innocent Tanzanian) that was killed by your fellow jihadists in a cold blood
Yes that's what Israel says when it kills thousand of inocent women and kids everyday!! don't forget Israel has killed a lot of nationals from media workers to relief workers, diplomats and so on but its not collateral damage is it?
as he innocently walked past the vicinity where Israelites were holding social gathering.
Not really, that piece of land has been part of Palestine at least before the occupation of 1967!! its more of a Tanzanian getting killed in Donbass Ukraine!! Just being caught in a crossfire!!
you just commented on this forum; kifo ya Joshua ni Collateral Damage: simultaneously condemning israel for browing up terrorists(Hamas) hideouts.
The irony of lamenting on the death of Joshua but ignoring the fact that over 100,000 "Joshuas" have been killed as collateral damage!! All in the name of blowing terrorist hideouts.

For instance there are no Hamas in westbank, but people die each day in the name of fighting terrorism!! Do you know how many Christians have died in East Jerusalem for just being Palestines?

It's not really about Christians vs Muslims but it's more of zionists trying neo-imperialism. They kill anybody on their way irrespective of religion see how they've killed Christians in southern Lebanon, blowing churches in Bethlehem and Ramallah!!

Wake up
 
your hatred towards Jews and Christians is Palpable.
Not really I don't hate Jews I hate ZIONISTS!! Also supporting innocent Palestine civilians doesn't make me a Muslim.

I'm a Christian tena mlokole but I hate zionists, so stop the assumptions. Nyerere, Lissu, and Mandela supported a Free Palestine did that make them any less-christians?
 
Kumbe wapo? Nilifikiri kimeshakufa!!

Hitler alizingua sana kuwaacha wayahudi, ilitakiwa awamalize wote hii shida isingekuwepo tena.
Kusema kweli safari hii IDF wameniangusha sana ilitakiwa baada ya Oct 07,2023 wasingeweza pimbi na mkia wake walitakiwa wamalize kazi huko Gaza kabisa ili kuondoka Oct 07 nyingine siku zijazo!! Huruma zao kwa magaidi ndiyo omeleta haya yote!!
 
Not really I don't hate Jews I hate ZIONISTS!! Also supporting innocent Palestine civilians doesn't make me a Muslim.

I'm a Christian tena mlokole but I hate zionists, so stop the assumptions. Nyerere, Lissu, and Mandela supported a Free Palestine did that make them any less-christians?
Acha unafiki wakati wewe ni Mwislamu kabisa!!

Kama Mkristo huwezi kuwa na chuki UKRISTO ni upendo na Hate hiyo imejaa vifuani mwa waislamu.

Mkristo wa kweli hawezi kuichukia Israel na Wayahudi labda tu awe Mkristo-koko kama wewe unavyojinasibu Eti Mlokole!!!

Mlokole gani mwenye chuki dhidi ya Israel na wayahudi?
 
according to you; Joshua was Zionist that why you had a Blissful moment when He was unalived by your fellow mOOn worshipers.

Nyerere, Lissu, and Mandela supported a Free Palestine did that make them any less- Christians?.
they don't monopoly the truth and remember they are politicians that constantly try their best to be political correct. if you had known this you wouldn't have used them as a eference.
 
Wapo, waliomuua kiongozi wao ni US si Israel... Israel hawana ndege yenye uwezo wa kubeba bunker buster nzito.

Jeshi la Israel lilishindwa kuingia Lebanon. walipambana wakadhibitiwa na Hezbollah.

Yote na yote wapo vizuri sana, kupambana na nchi kama Israel ikisaidiwa na US hata TPDF iungane na KDF na UPDF hawana uwezo kupambana na IDF inayopewa msaada wa kila aina toka US na Magharibi.
Yaaani nyie jamaa hua ni kichekesho sana kukubali kushindwa ni sehemu pia ya mpambano ISRAEL ndio ili muangamiza huyo Bi Nasrah Full stop 🛑
 
Acha unafiki wakati wewe ni Mwislamu kabisa!!
Unaweza thibitisha popote pale mimi ni muislam?
Kama Mkristo huwezi kuwa na chuki UKRISTO ni upendo na Hate hiyo imejaa vifuani mwa waislamu.
Comment yako tu inafurahia vifo vya wapalestina, hivyo kwa mtazamo huo na wewe nikisema sio mkristo nakuwa sahihi?
Mkristo wa kweli hawezi kuichukia Israel na Wayahudi labda tu awe Mkristo-koko kama wewe unavyojinasibu Eti Mlokole!!!

Mlokole gani mwenye chuki dhidi ya Israel na wayahudi?
Gwajima mbona ameipinga Israel waziwazi dhidi ya kuua wapalestina wasio na hatia? Si mlokole yule maana yupo CPCT!!

Ni hivi unaweza kuwa mkristo lakini ukachukia uonevu ndio maana Lissu, Mandela, Nyerere wameisupport sana palestina na kuwapinga wayahudi licha ya kwamba ni wakristo tena Nyerere ndio kabisa anataka kupewa na utakatifu!!!

Msifungamanishe dini na mgogoro wa ardhi!! Havina uhusiano ndio maana Israel imeua sana wakristo kule Bethlehem na East Jerusalem!! Au kama ni dini si wange-deal na waislamu tu.
 
according to you; Joshua was Zionist that why you had a Blissful moment when He was unalived by your fellow mOOn worshipers
Yeap just like tens of Tanzanians stuck in Donbass or Syria!! they are collateral damage.
Why on earth would you step on a hostile ground? That is Palestine land that's occupied by Israel and you think its right to be there? It's like stepping a Tourist stepping in Kagera when Idd Amin had invaded.

they don't monopoly the truth and remember they are politicians that constantly try their best to be political correct. if you had known this you wouldn't have used them as a eference.
Ooooh so supporting Palestine is being politically correct, but religously wrong is it? If its about religion then every denomination should invade its promised land
 
Unaweza thibitisha popote pale mimi ni muislam?
Yesu mwenyewe alisema Mathayo 7:16 Ye shall know them by their fruits. Do men gather grapes of thorns, or figs of thistles?
Ni hivi unaweza kuwa mkristo lakini ukachukia uonevu ndio maana Lissu, Mandela, Nyerere wameisupport sana palestina na kuwapinga wayahudi licha ya kwamba ni wakristo tena Nyerere ndio kabisa anataka kupewa na utakatifu!!!
Hao wanasiasa unaowaramba miguu uliwasikia wakisema mauaji yoyote ya Wayahudi yaliyokuwa yanafanyika na waarabu?

Kwa akili zako matope Takatifu wa Nyerere ndiyo utoa ndoa ukweli uliopitiliza? Kwa taarifa yako tu wote wanaowapinga Wayahudi wana ajenda Yao ya Siri siyo Bure. Na kuwaunga mkono wanaojiita Wapalestina ni lazima kwanza ujitoe ufahamu ndipo utapata ujasiri wa Kubwabwaja Free free Palestina!!
Comment yako tu inafurahia vifo vya wapalestina, hivyo kwa mtazamo huo na wewe nikisema sio mkristo nakuwa sahihi?
Wewe mwenyewe Oct 07,2023 ulikuwa unafurahia kwa vitendo walivyofanya Mabwana zako kwa kuua raia zaidi ya 1,200 na kuteka wengine 251 hata Israel I nahangaika kuwakomboa mateka hao ulikuwa unafurahia sana cha ajabu nchi hiyo iliyo wako boa wote uliufyata mkia wako.

Kwa akili yako matope ulitaka IDF waende huko Gaza kukomboa mateka wao huku wanaimba Mapambano ya kujifunza na kuabudu? Na sisi huku ulitaka tuanze kuangua Vilio wakati wao nao wanauwawa?

Tunatesa kwa zamu wewe ulifurahia kuuwawa kwa wayahudi Oct 07,2023 wengine pia tulihuzunika sana kwa vitendo vya kinyama walivyofanya Mabwana zako na sasa vibaka hao wanavuna walichopanda Acha nasi tufurahi tu Usiwe Mnafiki wewe ulifurani hutaki wengine nao wafurahi?! Acha ujinga wako!!!!
Gwajima mbona ameipinga Israel waziwazi dhidi ya kuua wapalestina wasio na hatia? Si mlokole yule maana yupo CPCT!!
Who is Gwajima by the way!!!! Ndiyo maana kila wakati huwa nawaambia ninyi ni wajinga manadanganyika sana na maneno ya wanasiasa kwa akili yako wewe ulitaka aibu he Mkono Israel akose kura za Waislamu? CPCT ndiyo ujinga gani huo ambao kila kukicha wanalilia kualikwa kwenda kunyea chai Ikulu!!!! Hao ni wasaka tonge tu kama viongozi wengine wa dini. Toka Oct 29,2025 umesikia wamekemea mauaji yaliyofanyika hapa nchin? Acha ujinga kuamini wanasiasa!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom