Hezbollah waliendaga wapi? Netanyahu aongezwe kwenye biblia

Hezbollah waliendaga wapi? Netanyahu aongezwe kwenye biblia

Wapo, waliomuua kiongozi wao ni US si Israel... Israel hawana ndege yenye uwezo wa kubeba bunker buster nzito.

Jeshi la Israel lilishindwa kuingia Lebanon. walipambana wakadhiitiwa na Hezbollah.

Yote na yote wapo vizuri sana, kupambana na nchi kama Israel ikisaidiwa na US hata TPDF iungane na KDF na UPDF hawana uwezo kupambana na IDF inayopewa msaada wa kila aina toka US na Magharibi.
Ukitumia akili utaelewa US hajahusika
 
Ukitumia akili utaelewa
 
Sasa kobaz unalia nn?
C na nyie Mtafute tegemezi ili mumuondoe Israel kwenye uso wa dunia 😂
Unfair playground
unapelekwa kucheza na watoto wenzako huku mdingi wako yuko hapo anawatolea mimacho watoto wengine wasikutwange makonzi.
hiko kiinchi hakina hii hela ya kutumia kwa siku hata nchi za ulaya haziwezi, kinatenegemea kumchuna buzi bwana wake US
Iran pamoja na vikwazo kamkalia kooni

1771760555264.png

1771760600586.png

1771760837033.png
 
Unfair playground
unapelekwa kucheza na watoto wenzako huku mdingi wako yuko hapo anawatolea mimacho watoto wengine wasikutwange makonzi.
hiko kiinchi hakina hii hela ya kutumia kwa siku hata nchi za ulaya haziwezi, kinatenegemea kumchuna buzi bwana wake US
Iran pamoja na vikwazo kamkalia kooni

View attachment 3547252

View attachment 3547253
View attachment 3547254
Muache ujinga hata kama zingekuwa zinatumika kwa siku moja wewe unaumia sehemu gani ya mwili wako?
 
Muache ujinga hata kama zingekuwa zinatumika kwa siku moja wewe unaumia sehemu gani ya mwili wako?
Natumia akili yangu na nina uhakika nimesoma kielimu kukuzidi wewe na ukoo wenu wote
 
Kwenye mahandaki walishaulizwa na funza vimebaki vichaka vya ndevu kama vielelezo kuwa Kuna wajinga waliokuwa wanampigania Mungu wa kiarabu kwa AHADI ya ujira wa majini ya kike 72
 
Unfair playground
unapelekwa kucheza na watoto wenzako huku mdingi wako yuko hapo anawatolea mimacho watoto wengine wasikutwange makonzi.
hiko kiinchi hakina hii hela ya kutumia kwa siku hata nchi za ulaya haziwezi, kinatenegemea kumchuna buzi bwana wake US
Iran pamoja na vikwazo kamkalia kooni

View attachment 3547252

View attachment 3547253
View attachment 3547254
Muache ujinga hata kama zingekuwa zinatumika kwa siku moja wewe unaumia sehemu gani ya mwili wako?
Natumia akili yangu na nina uhakika nimesoma kielimu kukuzidi wewe na ukoo wenu wote
kama unatumia akili yako kweli hizo takwimu umezipata wapi?
 
Endelea kusubiri mizoga ya magaidi wa Hezbollah tu
Kama kawaida wanakufa hao wanaingia wengine mpaa kitaeleweka kama Israel atabaki hapo Middle East na ndoto zake. Tena kuna watu wanaomba US ajichangan'ye kushambulia Iran ili Israel isafishwe kabisa.
 
Siku hizi wakipigwa hawavimbi kabisa

FaizaFoxy alituaminisha hao Hezbollah ni moto wa kuotea mbali 🤣🤣
Itachukua miaka mingi kurudi kwenye uwezo waliokuwa nao kipindi cha nyuma. Na inawezekana wasifanikiwe kabisa hasa kwa sababu hakuna njia ya kupata misaada kutoka Iran, na Iran yenyewe inaweza kuwa kikaangoni muda wowote.

Ila hawafutiki, bado wapo na wataendelea kuwepo japo kidhaifu dhaifu.
 
Aliuliwa kwa kutumia ndege karibu 40 na kurusha 80 tons za silaha hapo ndio ujuwe Mwanaume wa vipi huyo.

Na hapo ndio ujuwe ujinga wa Israeli anatumia ndege 40 na 80 tons kwa mtu mmoja tu kweli silaha ya bure nasikini wamarekani wanalipa kodi zinaishia Israel 😆 😂
Sasa kama wana uwezo kwanini wasitumie?!
 
Sasa kama wana uwezo kwanini wasitumie?!
Nani kakuambia hawatatumia subirini mtaona mda utaongea, nakumbuka wajati ule akipigwa Israel huwa mnajificha haswa wewe eti mzee kigogo labda kigogo wakunyogi.

Hata yule muosha vyoo vya Tela Aviv Echolima1
 
😂 😂 😂 Umenikumbusha huyo bibi alikuwa anapenda kuwatia vidume vya mbegu
Kwa hio Israel wao ni omba omba mpaa wanaomba USA apigane na Iran kama wao vidume siwakampiige wenyewe Iran.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom