Hezbollah waliendaga wapi? Netanyahu aongezwe kwenye biblia

Kina khamenei na mazayuni wote ni ndugu. Kuwa na uadui na mmoja sio lazima uwe na urafiki na mwengine.

Mataifa ya kiarabu hayana urafiki na mazayuni. Na mazayuni wenyewe nadhani wanalijua hili, kilichokuwepo kwa baadhi ya Nchi za Kiislam zinazoonekana zina mahusiano fulani na mazayuni ni diplomasia tu na kufanya amani tu kwa maslahi mapana ya Nchi zao na Waislam.

Na kama kuna watu mazayuni wanawahofia mno basi ni Ahlus-Sunnah wanaposhikamana na Dini yao, mazayuni hawaogopi slogans, hawaogopi kuchoma bendera, hawaogopi maandamano. Wanachoogopa ni Waislam kushikamana na njia ya Maswahaba (Allah Awaridhie) waliopewa ushindi mwanzoni kabisa.

Wenye akili miongoni mwao mazayuni wanajua kuwa ni Ahlus-Sunnah ndio hatari kwao na downfall yao itakuwa kwa mikono ya Ahlus-Sunnah walioshikamana na Dini yao, kwa idhini ya Allah.

Kwa mazayuni ni bora mashia rafidha (akina khamenei) kuliko Ahlus-Sunnah.

Hata huu uadui wa akina khamenei na mazayuni siuamini amini na kama ni wa kweli basi ni uadui wa ndugu wawili ambao wote wanawachukia mno Ahlus-Sunnah.
Tutolee ndevu hapa, kazi kupaka ndevu henna kichwani hakuna kitu, nyie ndio majinga mnaosababisha mashariki ya kati amani inakosekana... kichwani mna mavi.

Mnagombanishwa kipuuzi sana na mnakubali hizo propaganda..

Huo u sunni na ushia unawasaidia nini wajinga nyie?
 
Tutolee ujinga wenu...
Iran hawapambani na Israel ili kuonyesha sunni hawawezi, Iran inapambana na Israel kujilinda..
Na wewe tuondolee Ujinga wako hapa!!! Yuko lini Iran alitishiwa na Israel? Huko kwenye Madrasa yenu mnadanganyana sana.

Israel ndiyo inayopambana kujilinda na Iran ambayo mara zote inatishia kuifuta nchi hiyo kwenye Armani ya dunia.

Iran hiyo hiyo unayoiramba makalio inafadhili Magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houthi ambao kila uchao walikuwa wanaishambulia Israel Thanks God sasa hivi Wamebondwa-bond wa hata hawana humu tena na Israel!!!!
Hivi hizi akili za kipumabvu na kipuuzi mnazitoa wapi? madrasa au misikiti ipi? Watu wanapambana na adui badala muunge juhudi unaleta udini wa kipumbavu...

Unakuwa na sijda kubwa kama kitumbua kumbe kichwani hakuna kitu...

jinga kabisa... halafu tatizo elimu dunia hakuna mmekalia kupiga madufu, kufuga ndevu na kuvaa suruali fupi...
Umesahau kujiambia na Kufuga Majini kweli waswahili walisema Nyani haoni kundule!! Ndiyo wewe sasa!!!
 
Iran hiyo hiyo unayoiramba makalio inafadhili Magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houthi ambao kila uchao walikuwa wanaishambulia Israel Thanks God sasa hivi Wamebondwa-bond wa hata hawana humu tena na Israel!!!!
Hezbollah wapo, mbona jeshi la Israel walishindwa kuingia Lebanon?
 
Tutolee ndevu hapa, kazi kupaka ndevu henna kichwani hakuna kitu, nyie ndio majinga mnaosababisha mashariki ya kati amani inakosekana... kichwani mna mavi.

Mnagombanishwa kipuuzi sana na mnakubali hizo propaganda..

Huo u sunni na ushia unawasaidia nini wajinga nyie?
Ndugu wanapogombana sisi wengine daima huchukua Jembe na kwenda kulima. Haya sasa gombaneni mkipatana mtanijulisha!!!!
 
3:55
Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana.
 
Kwanini mnashabikia vitu visivyo wahusu?
Inafikirisha sana.
 
Tutolee ndevu hapa, kazi kupaka ndevu henna kichwani hakuna kitu, nyie ndio majinga mnaosababisha mashariki ya kati amani inakosekana... kichwani mna mavi.

Mnagombanishwa kipuuzi sana na mnakubali hizo propaganda..

Huo u sunni na ushia unawasaidia nini wajinga nyie?

Huelewi kitu.
 
Tutolee ujinga wenu...
Iran hawapambani na Israel ili kuonyesha sunni hawawezi, Iran inapambana na Israel kujilinda..

Hivi hizi akili za kipumabvu na kipuuzi mnazitoa wapi? madrasa au misikiti ipi? Watu wanapambana na adui badala muunge juhudi unaleta udini wa kipumbavu...

Unakuwa na sijda kubwa kama kitumbua kumbe kichwani hakuna kitu...

jinga kabisa... halafu tatizo elimu dunia hakuna mmekalia kupiga madufu, kufuga ndevu na kuvaa suruali fupi...

Huelewi kitu.
 
Unaropoka na hujui unachoongea. Hao Ahlu sunna wako ndio walikaribisha jeshi la Marekani likatumia ardhi zao kushambulia hata wasunni wenzao. Iraq ya Saddam Hussein ilivamiw kwa msaada wa Bahrain,Kuwait ambao wote ni sunni.
Yemeni iliharibiwa na makombora ya USA kwa msaada wa Saudi Arabia na UAE.
ottoman Empire ilianguka vita ya kwanza ya dunia kwa msaada wa Jordan na nchi baadhi ya kisunni.
Jitambue we endelea kushikilia madhehebu na ubaki kuwa MJINGA.

Marafidha ni watu wa khiana, maadui wa Ahlus-Sunnah, watu waovu mno na watu ambao hawatoweza kuikomboa Al Quds kutoka kwa mazayuni. Watu wanaowakufurisha na kuwatukana Maswahaba wa Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) Maswahaba ambao ndio walipewa heshima ya kuikomboa Al Quds mwanzo (Allah Awaridhie Maswahaba wote) marafidha hawatopewa heshima ya kuikomboa Al Quds.

Ni Ahlus-Sunnah vipenzi vya Maswahaba ndio wataikomboa Al Quds kwa idhini ya Allah.

Na wala haitakombolewa na marafidha ambao kwanza hata hawakubali kuwa Masjid Al- Aqswa ipo Al-Quds (Jerusalem).

Rafidha hawajawahi kuufungua mji wowote ule wakaingiza Uislam ndani yake. Miji yote imefunguliwa na Watu wa Sunnah. Rafidha wao ni kusubiri Waislam wadhoofike wawabackstab au kuwapiga vita na kuchukua miji yao kama walivyofanya Iran karne ya 16 Miladia (Iran ilikuwa nchi ya Sunni kabla haijavamiwa na rafidha) au kabla yao walivyofanya Ubaidiyyun ("Faatimiyyun") kule Misri, au walivyofanya maqaraamitwah na wengine. Au washirikiane na makafiri dhidi ya Ahlus-Sunnah kama walivyofanya wakati wamongolia wanawavamia Waislam .

No wonder hata Salahuddin Al- Ayyubi (Allah Amsamehe na Amrehemu) alianza kuwabonda wao kwanza kule Misri ("Faatimiyyun") kabla ya kuwaendea crusaders na kuikomboa al-Quds. Vipi angeiendea al-Quds na kutaka kuikomboa kutoka kwa crusaders na mgongoni mwake kuwe na rafidha?

Marafidha sio watu wa kuaminika kabisa.
 
Endelea kuendekeza madhehebu.
Hao Ahlu sunna ndio WANAFIKI WAKUBWA. Ni watesi wa waislam wenzao.
 
Netanyahu na kawaondoa magaidi wote walikuwa wakimzunguka
 
Attachments

  • Screenshot_2026-03-03-12-21-11-561.jpg
    Screenshot_2026-03-03-12-21-11-561.jpg
    178.6 KB · Views: 2
Mlima sayuni kutaka Netanyahu kuwekwa kwenye Bible ni zihaka kubwa juu ya Bible!!!!!!!!!!!!

sababu Netanyahu anaunga mkono Usodoma waziwazi. ¿¿

Vip au vita ya Usodoma kwenye Bible ilikwisha kabisa?

Na Usodoma ndio habari njema????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom