Hezbollah waliendaga wapi? Netanyahu aongezwe kwenye biblia

Hezbollah waliendaga wapi? Netanyahu aongezwe kwenye biblia

Wapo, waliomuua kiongozi wao ni US si Israel... Israel hawana ndege yenye uwezo wa kubeba bunker buster nzito.

Jeshi la Israel lilishindwa kuingia Lebanon. walipambana wakadhibitiwa na Hezbollah.

Yote na yote wapo vizuri sana, kupambana na nchi kama Israel ikisaidiwa na US hata TPDF iungane na KDF na UPDF hawana uwezo kupambana na IDF inayopewa msaada wa kila aina toka US na Magharibi.
Israel ni state ya 52 US inayopatikana mashariki yakati
 
Yesu mwenyewe alisema Mathayo 7:16 Ye shall know them by their fruits. Do men gather grapes of thorns, or figs of thistles?
Yesu kasema wewe una uwezo wa kujua hayo "matunda" kwa kumjua mtu JF tena ID feki? Ndio maana nikakuuliza thibitisha. Mimi nilithibitisha matusi yako ndio maana ulikula BAN so hapa ni ushahidi tu sio kuleta empty rhetorics.
Hao wanasiasa unaowaramba miguu uliwasikia wakisema mauaji yoyote ya Wayahudi yaliyokuwa yanafanyika na waarabu?
Ndio wamepinga hata Morocco ambao ni waarabu kuteka SADR na kuua wapiganaji wa polisario!!
Kwa akili zako matope Takatifu wa Nyerere ndiyo utoa ndoa ukweli uliopitiliza? Kwa taarifa yako tu wote wanaowapinga Wayahudi wana ajenda Yao ya Siri siyo Bure. Na kuwaunga mkono wanaojiita Wapalestina ni lazima kwanza ujitoe ufahamu ndipo utapata ujasiri wa Kubwabwaja Free free Palestina!!
Sasa usilete makasiriko kwangu, kawafokee wakatoliki wanaotaka kumpa utakatifu mtu ambaye anaipinga Israel na kuunga mkono kuundwa taifa la Israel.
Wewe mwenyewe Oct 07,2023 ulikuwa unafurahia kwa vitendo walivyofanya Mabwana zako kwa kuua raia zaidi ya 1,200 na kuteka wengine 251 hata Israel I nahangaika kuwakomboa mateka hao ulikuwa unafurahia sana cha ajabu nchi hiyo iliyo wako boa wote uliufyata mkia wako.
Sasa si umesema mimi ni muislam kisa nina chuki, sasa wewe mwenye upendo ila ukafurahia mauaji ya watoto wa Gaza na wewe si muislam pia sababu una chuki? Hiyo si ndio ilikua logic yako?
Tunatesa kwa zamu wewe ulifurahia kuuwawa kwa wayahudi Oct 07,2023 wengine pia tulihuzunika sana kwa vitendo vya kinyama walivyofanya Mabwana zako na sasa vibaka hao wanavuna walichopanda Acha nasi tufurahi tu Usiwe Mnafiki wewe ulifurani hutaki wengine nao wafurahi?! Acha ujinga wako!!!!
Ndio sasa usiseme wenye chuki ni waislam maana hata wewe una chuki ila sio muislam. So usinishangae mimi kuwa mkristo ila kuchukia wayahudi!!
Who is Gwajima by the way!!!! Ndiyo maana kila wakati huwa nawaambia ninyi ni wajinga manadanganyika sana na maneno ya wanasiasa kwa akili yako wewe ulitaka aibu he Mkono Israel akose kura za Waislamu?
Kumbe? so haogopi kupoteza kura za wakristo? Yaani Lissu haogopi kupoteza kura za waislam kwa kusupport Palestine? Au kwanini Trump haogopi kupoteza kura za waislam na walatino kwa kumteka maduro na kukandamiza Iran?

Yaani ulivyo wa ajabu unaona Trump na Netanyahu ndio wakusikiliza kwani nao sio wanasiasa? Hujui Netanyahu naye anaipiga Iran ili kujiongezea approval ratings za uchaguzi na sio kwamba ana nia ya kuleta amani??

Unapenda kutoa hoja na kujipinga mwenyewe.
 
CPCT ndiyo ujinga gani huo
Yaani unapinga ukristo wa nyerere, unapinga ukristo wa Lissu, unapinga Gwajima ni mlokole, na unapinga ukristo wa CPCT? Na bado unajiita mkristo.

Yaani mimi unayeniita muislam sijawahi wapinga watumishi wa kikristo kama Gwajima na CPCT alafu wewe mkristo ndio unawakebehi as if wewe ndio mtakatifu!!

So who's the Muslim now?
 
Hezbollah, waliishiaga wapi? Hawa watu iliaminishwa ni hatari kuliko Hamas
Hizbollah wapo ila walisaini makubaliano ya kusitisha mapigano na Israel kwa shinikizo la serikali yao kuu kuwa watapokonywa viti vya ubunge.
Na wamejiandaa na vita pale tu Iran itakapovamiwa na wao waanze mashambulizi.
 
Msifungamanishe dini na mgogoro wa ardhi!! Havina uhusiano ndio maana Israel imeua sana wakristo kule Bethlehem na East Jerusalem!! Au kama ni dini si wange-deal na waislamu tu.
Hakuna mgogoro wa ardhi hapo maana wala Israel haijawahi kuua wakristo huko East Jerusalem iwaue kwa sababu gani kwa sababu Wakristo si Magaidi!!

Wanauwawa huko ni wanaofanya Ugaidi na sasa dawa Yao iko jikoni inachemka ni kuwa Nyonga tu vibaka hao
Israel ni state ya 52 US inayopatikana mashariki yakati
Mpaka leo hujui Marekani na Israel ni Washirika? Ndiyo maana wewe ni mjinga!!
 
Ninachomaanisha ni hiki, kila siku Hezbollah wanapigwa ila tofauti na kipindi fulani siku hizi hawajibu mapigo kabisa

Ni kama wao huko ndani hawana mtazamo mmoja tena

1000185809.png
 
Yaaani nyie jamaa hua ni kichekesho sana kukubali kushindwa ni sehemu pia ya mpambano ISRAEL ndio ili muangamiza huyo Bi Nasrah Full stop 🛑
Israel hata ndege ya kubeba bunker buster ya kupiga kinu cha nuclear kule Iran hawakuwa nayo, ilibidi waiombe US, US pekee ndiye mwenye ndege ya kubeba GBU-57.. ambayo ni B-2.

Kule Lebanon, walitumia F-15, ndo ndege yao yenye uwezo wa juu kubeba mizigo mizito, wakapewa bunker buster aina ya BLU-109... walirusha bunker buster za aina tofauti, hizo BLU-109 zilirushwa kama 16, kila moja ina tani 1, zikifuatiwa na bunker buster za aina nyingine...

Huo mchongo wote ulikuwa ukisimamiwa na US... ndio maana nakuambia Israel hakuwa na huo uwezo..
 
Israel hata ndege ya kubeba bunker buster ya kupiga kinu cha nuclear kule Iran hawakuwa nayo, ilibidi waiombe US, US pekee ndiye mwenye ndege ya kubeba GBU-57.. ambayo ni B-2.
Hiyo ndiyo maana ya Washirika au Wafuga Midevu na Majini hamjui maana ya Washirika?
Kule Lebanon, walitumia F-15, ndo ndege yao yenye uwezo wa juu kubeba mizigo mizito, wakapewa bunker buster aina ya BLU-109... walirusha bunker buster za aina tofauti, hizo BLU-109 zilirushwa kama 16, kila moja ina tani 1, zikifuatiwa na bunker buster za aina nyingine...

Huo mchongo wote ulikuwa ukisimamiwa na US... ndio maana nakuambia Israel hakuwa na huo uwezo..
Huo ndiyo Ushirika sasa!!!
 
Hakuna mgogoro wa ardhi hapo maana wala Israel haijawahi kuua wakristo huko East Jerusalem iwaue kwa sababu gani kwa sababu Wakristo si Magaidi!!
Sio kweli haupo informed kabisa mkuu. Hii imetokea wiki moja tu imepita, wamevamia kijiji cha wakristo wa huko West Bank na kuchoma moto sio tu makanisa, ila makazi na magari pamoja na kushoot watu wa kutosha.

Jewish settlers attack the only entirely Christian village in the Holy Land once again, according to the Catholic parish priest himself - ZENIT - English

Una maoni gani juu ya wakristo kuuwawa na makanisa kuchomwa? Kumbuka huko ni Jerusalem hakuna ugaidi wala Hamas!!

Mashia nao kujifanya kiherehere, na khiana zao, kwamba wao ndio wanaweza kupambana na mazayuni na kuonesha Sunni hawafanyi chochote.

Ahlus-Sunnah wako na Subra na kufanya diplomasia na kutanguliza amani na adui ili kuchunga damu za Waislam wanyonge na dhaifu. Wanajaribu kuondoa madhara makubwa.

Ahlus-Sunnah wako na subra na wanajiandaa taratibu.

Ahlus-Sunnah ndio watakaoikomboa Al Quds kwa Idhini ya Allah, na sio Mashia.
 
Ina maana wewe hujui uhusiano wa Iran na makundi yake ya kigaidi dhidi ya mataifa ya Kiarabu?
Hizo nchi zote za kiarabu zinamwona Ayatollah ni shetani anayetengeneza hayo makundi ua kigaidi dhidi ya mataifa yao.

Mataifa mengi ya kiarabu ni marafiki wa siri wa Israel kwani Israel ndiyo nchi pekee wanayoitegemea katika kuidhibiti Iran na makundi yake ya kiarabu, ndiyo maana Israel huwa inapewa kiurahisi taarifa za kiintelijensia kuhusu hao magaidi wako wapi au wanapanga kuwa wapi.

Kina khamenei na mazayuni wote ni ndugu. Kuwa na uadui na mmoja sio lazima uwe na urafiki na mwengine.

Mataifa ya kiarabu hayana urafiki na mazayuni. Na mazayuni wenyewe nadhani wanalijua hili, kilichokuwepo kwa baadhi ya Nchi za Kiislam zinazoonekana zina mahusiano fulani na mazayuni ni diplomasia tu na kufanya amani tu kwa maslahi mapana ya Nchi zao na Waislam.

Na kama kuna watu mazayuni wanawahofia mno basi ni Ahlus-Sunnah wanaposhikamana na Dini yao, mazayuni hawaogopi slogans, hawaogopi kuchoma bendera, hawaogopi maandamano. Wanachoogopa ni Waislam kushikamana na njia ya Maswahaba (Allah Awaridhie) waliopewa ushindi mwanzoni kabisa.

Wenye akili miongoni mwao mazayuni wanajua kuwa ni Ahlus-Sunnah ndio hatari kwao na downfall yao itakuwa kwa mikono ya Ahlus-Sunnah walioshikamana na Dini yao, kwa idhini ya Allah.

Kwa mazayuni ni bora mashia rafidha (akina khamenei) kuliko Ahlus-Sunnah.

Hata huu uadui wa akina khamenei na mazayuni siuamini amini na kama ni wa kweli basi ni uadui wa ndugu wawili ambao wote wanawachukia mno Ahlus-Sunnah.
 
Unaropoka na hujui unachoongea. Hao Ahlu sunna wako ndio walikaribisha jeshi la Marekani likatumia ardhi zao kushambulia hata wasunni wenzao. Iraq ya Saddam Hussein ilivamiw kwa msaada wa Bahrain,Kuwait ambao wote ni sunni.
Yemeni iliharibiwa na makombora ya USA kwa msaada wa Saudi Arabia na UAE.
ottoman Empire ilianguka vita ya kwanza ya dunia kwa msaada wa Jordan na nchi baadhi ya kisunni.
Jitambue we endelea kushikilia madhehebu na ubaki kuwa MJINGA.
 
Sio kweli haupo informed kabisa mkuu. Hii imetokea wiki moja tu imepita, wamevamia kijiji cha wakristo wa huko West Bank na kuchoma moto sio tu makanisa, ila makazi na magari pamoja na kushoot watu wa kutosha.

Jewish settlers attack the only entirely Christian village in the Holy Land once again, according to the Catholic parish priest himself - ZENIT - English

Una maoni gani juu ya wakristo kuuwawa na makanisa kuchomwa? Kumbuka huko ni Jerusalem hakuna ugaidi wala Hamas!!

Ujinga mtupu unakusumbua kama ni mtu anayejitambua huwezi kutumia Aljazeera mtetezi wa Magaidi kama Source!!!!

Hapa Tanzania Magaidi wana Choma moto Makanisa na kumwagia tindikali mapadri na Wachungaji hatukusema Serikali inafanya hivyo! Leo hii wewe na Aljazeera yako settler wanafanya ujinga unailaumu Serikali!!
 
Mashia nao kujifanya kiherehere, na khiana zao, kwamba wao ndio wanaweza kupambana na mazayuni na kuonesha Sunni hawafanyi chochote.

Ahlus-Sunnah wako na Subra na kufanya diplomasia na kutanguliza amani na adui ili kuchunga damu za Waislam wanyonge na dhaifu. Wanajaribu kuondoa madhara makubwa.

Ahlus-Sunnah wako na subra na wanajiandaa taratibu.

Ahlus-Sunnah ndio watakaoikomboa Al Quds kwa Idhini ya Allah, na sio Mashia.
Tutolee ujinga wenu...
Iran hawapambani na Israel ili kuonyesha sunni hawawezi, Iran inapambana na Israel kujilinda..

Hivi hizi akili za kipumabvu na kipuuzi mnazitoa wapi? madrasa au misikiti ipi? Watu wanapambana na adui badala muunge juhudi unaleta udini wa kipumbavu...

Unakuwa na sijda kubwa kama kitumbua kumbe kichwani hakuna kitu...

jinga kabisa... halafu tatizo elimu dunia hakuna mmekalia kupiga madufu, kufuga ndevu na kuvaa suruali fupi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom