Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 10,874
- 15,396
Achana na thumbnail check interview hiyoMtanyooka tu na mpambe wenu huyu Israel iko palepale hata kama mnasema “Who are Chosen People” mtaeleweka tu!!
Achana na thumbnail check interview hiyoMtanyooka tu na mpambe wenu huyu Israel iko palepale hata kama mnasema “Who are Chosen People” mtaeleweka tu!!
Myahudi alifyeka uongozi mzima wa Hezbollah ndani ya week mbili. Fanya mchezo nini?!Yaani anguko la Hezbollah inabidi lifanyiwe utafiti, sababu jamaa sasa hivi hawarushi hata jiwe na kila siku wanabondwa
Interview ya mpambe wenu huyo hujui kitu!!Achana na thumbnail check interview hiyo
View: https://youtu.be/fEv46brfZ5U?si=oaIooeppYs6263gB
Nyie mnao uliza Hezbullah wako wapi, huyo mnaye msifu kawamaliza Hezbullah jana alikuwa ana lalamika Hezbullah atatushambulia ana ngojea kupewa green light na Iran 😄
We huoni kila kukicha ana shambulia Lebanon sababu PM wa Lebanon na Foreign Ministry wa Lebanon wanawapa support Isreal na wako against Hezbullah. Wanazuia Hezbullah asijibu wakati wao wanasema Israel anahaki kushambulia Hezbullah hivi hao kweli wa Lebanon au ni mapuppet wa USA
Allah nae tapeli tuu kama malaya mudy, n Mungu pekee ndiye mwenye uwezo huo.Hivi allah ameshindwa kuifuta Israel?!😁😁
Kila la kheri mkuuInterview ya mpambe wenu huyo hujui kitu!!
Sawa we tulizana karibu mtapata jibu.Hezbollah ilikuwepo enzi za Gaidi Hassan Nasrallah hii ya sasa ni Mdebwedo tu!!!
Utasubiri sana tu lakini kwa Hezbollah ndiyo imetoka hiyo!!!!Sawa we tulizana karibu mtapata jibu.
Ni 6 walikuwa wanasetting target za Missiles ambazo zitashambulia Israel sa mbona mnadai wamekwisha hahaha vipi Israel awe anawashambulia basi kumbe bado wapoLeo tu BBC Habari hezbollah wameuwawa magaidi 10
Mimi nasubiri sababu nauhakika Hezbullah anajipanga kumpiga Israel kipigo cha mbwa koko.Utasubiri sana tu lakini kwa Hezbollah ndiyo imetoka hiyo!!!!
Hivi yule gaidi nasralah aliishia wapi?😁😁😁Ni 6 walikuwa wanasetting target za Missiles ambazo zitashambulia Israel sa mbona mnadai wamekwisha hahaha vipi Israel awe anawashambulia basi kumbe bado wapo
Aliuliwa kwa kutumia ndege karibu 40 na kurusha 80 tons za silaha hapo ndio ujuwe Mwanaume wa vipi huyo.Huyu yule gaidi nasralah aliishia wapi?😁😁😁
Kwamba unaona aibu kusema Israel anawanyoosha? 😂Wapo, waliomuua kiongozi wao ni US si Israel... Israel hawana ndege yenye uwezo wa kubeba bunker buster nzito.
Jeshi la Israel lilishindwa kuingia Lebanon. walipambana wakadhiitiwa na Hezbollah.
Yote na yote wapo vizuri sana, kupambana na nchi kama Israel ikisaidiwa na US hata TPDF iungane na KDF na UPDF hawana uwezo kupambana na IDF inayopewa msaada wa kila aina toka US na Magharibi.
View: https://youtu.be/fEv46brfZ5U?si=oaIooeppYs6263gB
Nyie mnao uliza Hezbullah wako wapi, huyo mnaye msifu kawamaliza Hezbullah jana alikuwa ana lalamika Hezbullah atatushambulia ana ngojea kupewa green light na Iran 😄
We huoni kila kukicha ana shambulia Lebanon sababu PM wa Lebanon na Foreign Ministry wa Lebanon wanawapa support Isreal na wako against Hezbullah. Wanazuia Hezbullah asijibu wakati wao wanasema Israel anahaki kushambulia Hezbullah hivi hao kweli wa Lebanon au ni mapuppet wa USA
Aliuliwa kwa kutumia ndege karibu 40 na kurusha 80 tons za silaha hapo ndio ujuwe Mwanaume wa vipi huyo.
Na hapo ndio ujuwe ujinga wa Israeli anatumia ndege 40 na 80 tons kwa mtu mmoja tu kweli silaha ya bure nasikini wamarekani wanalipa kodi zinaishia Israel 😆 😂
Kwahy umekubali Kuna ambao wameuawa 😂 makobaz akili zenu mnazijua wnywNi 6 walikuwa wanasetting target za Missiles ambazo zitashambulia Israel sa mbona mnadai wamekwisha hahaha vipi Israel awe anawashambulia basi kumbe bado wapo
Punguzeni story za kuliswha matango kanisani, Saud Arabia kisha sema hawezi kuwa na uhusiano na Israel na anaye kuambia nchi za kiarabu zina uadui na Iran nani. Nchi za kiarabu zinapotezwa na USA. Ukiona nchi ya kiarabu ina uadui na Iran basi kuna mkono wa USA.Ina maana wewe hujui uhusiano wa Iran na makundi yake ya kigaidi dhidi ya mataifa ya Kiarabu?
Hizo nchi zote za kiarabu zinamwona Ayatollah ni shetani anayetengeneza hayo makundi ua kigaidi dhidi ya mataifa yao.
Mataifa mengi ya kiarabu ni marafiki wa siri wa Israel kwani Israel ndiyo nchi pekee wanayoitegemea katika kuidhibiti Iran na makundi yake ya kiarabu, ndiyo maana Israel huwa inapewa kiurahisi taarifa za kiintelijensia kuhusu hao magaidi wako wapi au wanapanga kuwa wapi.
Hezbollah wako wapi?Mzayuni ni tegemezi wa msaada wa US
Na ikitokea Raisi wa US Kama ilivyo Trump Yukon poa kutoa mabilioni ya hela ya silaha, mzayuni ataonekane ni mshindi kila siku
Ikitokea Kama ilivyotokea 2006 wakati wa Bush,hakuwapa senti ya msaada, walikula kipondo
Endelea kusubiri mizoga ya magaidi wa Hezbollah tuMimi nasubiri sababu nauhakika Hezbullah anajipanga kumpiga Israel kipigo cha mbwa koko.