Heheheheeee snowhite mi nishajitua kwa cielo sina shida tenadada mkubwa kwanza shikamoo!
hapo kwenye bold unafikir masikhara kuoa binti wa kingoni!ahhahahhahhaha watu wanazipanga tu hapa fikwa hapa mahari hapa myakaya hapa jamanda!ahahahhahahha hata Erickb52 mwenyewe kakimbia hilo hilo na kwa mwendo ninauona humu na Kipipi nae kashaona hamwezi si kagundua ni mdogo wetu!ndo mana kahamisha majeshi kwa Ciello ambaye kafa kaoza kwa Mtambuzi kiasi analala nae kila siku,mi mara ya pili hii nawakuta wako wote usiku wa manane tena siku hizi wameanzisha kamchezo ka kupiga watu chabo
kha hivi ntachomoka kwenye hizi skendo kwel? Bt uliona vibaya karewind cctv kamera yako uwaone wahusika
mi nilijua tu!chezeya mitoto ya kingoni fulll baba zetu kina Mzee Tupatupa na kaka zetu kina moto2012 wanajua viwango vyetu ndo mana wanakuwaga wachungu kweli kwenye kupanga mahari
inabidi niwasiliane naye niangalie mfuko una kiasi gani, otherwise inabidi tumnyang'anye kibarua..lol!!
no usikate tamaa kijana mie bado nalifikiria ombi lako soon nitakujibu ,ukiwasikiliza wapambe kina snowhite et al hatutafika!
mi nakucheki tu unavotaka kuingia chaka mtafute mtu anaitwa Remmy ndo utajua huyu Erickb52 ni nani,au kwa maelezo mafupi muulize kwani kule mwanza likumbwa na zahma gani ukitaka story kamili mtafute dada mmoja hivi anaitwa Elizabeth Dominick ye kwa kuwa ni verified user wala hatakudannganya
nayafaham yote usemayo mamito ila kila enzi ina vitabu vyake vya historia!
bwana Pombekali baada ya kuuaga ukapera nikaamua kubadili jina kutoka mtotosix kwenda C6 ndo maana mpenzi wangu charminglady anamtaja taja C6
mi nakucheki tu unavotaka kuingia chaka mtafute mtu anaitwa Remmy ndo utajua huyu Erickb52 ni nani,au kwa maelezo mafupi muulize kwani kule mwanza likumbwa na zahma gani ukitaka story kamili mtafute dada mmoja hivi anaitwa Elizabeth Dominick ye kwa kuwa ni verified user wala hatakudannganya[/QUOTE]
Unanitia majaribuni we mdada kwanini asimtafute charminglady
no usikate tamaa kijana mie bado nalifikiria ombi lako soon nitakujibu ,ukiwasikiliza wapambe kina snowhite et al hatutafika!
Pombekali habari mpya Erickb52 anavizia wake za watu kama kuku.mi nilishampa makavu laivu kwamba simtaki na Bishanga nimemweka kwenye chupa