Welcome back !
(hii haileti maana karibu nyuma!?)
ina utata hii , mi nitumie
welcome again! Afu kuna fununu ulikua kisiwani Zimbabwe karibu na Pemba ni kweli?
Dah lazma nikuote Kipipi wala usijali love!Wewe . . . ulibugia ulabu eeh??
Hujipendi wewe!
Haya ukiniota ota salama . .kumbatia picha yangu..na kama ukinikumbuka sana....nipigie unichuuum . ila angalia usiniote kila siku!! LOL
Welcome back !
(hii haileti maana karibu nyuma!?)
ina utata hii , mi nitumie
welcome again! Afu kuna fununu ulikua kisiwani Zimbabwe karibu na Pemba ni kweli?
Nipimie tu wala usijali ntapokea kiasi chochote:behindsofa:
Mi nampimia tu. . . teh! teh! teh!
Ndo mwenyewe kaona mtoto hainogi so kachange kajiita c according to mapenz c inasemekana inastand for charming sasa sijajua kama ni nimekumbuka sawa au laa.
Dah lazma nikuote Kipipi wala usijali love!
Mwambie snowhite na Blaki Womani nawatakia Eid Njema!
Mwaaaaaah
Nipimie tu wala usijali ntapokea kiasi chochote
we charminglady, nakumbuka mara ya mwisho nimekuacha na mtoto six, huyu C6 nae vp tena, au una kaugonjwa ka sita kwa sita!?? nieleweshe, la sivyo na mimi ntajiita pombekali no.6 nikupate!! teh tih toh!!!
Heheheheeee Kipipi ukipewa Umod mi naachana na UMOD kabisa bora niwe memba wa kawaida aisee maana hatutaweza kufanya kazi pamoja lol au bora niendelee kufanya kazi kwa kutokea huku kama siku zoteChinekeee . . . . .
alokwambia uedit post yangu nani??
wallah utanikoma . . . . kesho tu nakuwa mod!!
charminglady shem wangu hujambo?
Bata wangu kaenda kuogelea.....maji ya bafuni machafuuuuUsikae sana kuziba wenzako,
Unataka nyama vipi bata wako??
Ndo mwenyewe kaona mtoto hainogi so kachange kajiita c according to mapenz c inasemekana inastand for charming sasa sijajua kama ni nimekumbuka sawa au laa.
Kafanyaje!?? duh anaweza akakuvunjia ndoa huyu kama unayo!