mkuu usiwe na shaka watatoa infos sababu sio wote waliokosa ni matajirri kwani wengine waliandika ni mayatima kiukwel nao pia wamo kweny list,hata mdogo wangu kachaguliwa UDSM B SC MIROBILOLOGY,AMEKOSA MKOPO HUKU SHULE ALIZOSOMA ZOTE NI GVT,,,TENA ANASTAHILI MKOPO KWA JINSI ALIVOJIELEZA KWENYE ILE FORM,,,na infact wengi hatuna uwezo wa kulipa mamilioni..watatuinform kwani hata wenyewe wanajua hali halisi.

Kitu ambacho walichokifanya ni kuwa hawajaeleza sababu za kutokustahili kupata mkopo ki ukweli sijafurahia hilo,wangekuwa open ili watu waondokane na kuchanganyikiwa...tuwe na subira kidogo hata mwenyewe ninaumia kwa mdogo wangu....lazima wata tu info mkuu..hii mbona itakua ni disaster kwa wazazi na wanafunzi wengi nchini kwetu....walitoa vigezo pia kwa wale wanaochukua sayansi ya tiba ni 100% mbona katika kundi la waliokosa loan ni wengi,wapo wa muhimbili,bugando,na nyingine.

Usiwe na mcheche second chance lizama ipo..

N0 m0 chance. Wamemaliza ela wale raia wa heslb. Bill 79.4 imekwisha mzaz

Naona suala la mkopo lilikuwa la kisiasa kwaajili ya kumuingiza mjomba madarakani.ivi kama fleshers from six wamekosa mimi mweye equivalent yaani diploma nitapata kweli?

Kuna Jamaa yangu nimfanyakazi amepewa mkopo milion 3,413,640/- je ni mojawapo ya vigezo vinavyotakiwa?

Kuna Jamaa yangu nimfanyakazi amepewa mkopo milion 3,413,640/- je ni mojawapo ya vigezo vinavyotakiwa?